hapo kuna ukweli pia ila naamini ujio wa android kwa kasi nayo pia ina influence kubwa pia katika hiloo huyu bwana kuhusu kubadilisha baadhi ya developer options za whatsapp ni hofu ya kwamba labda wanaweza kuharibu radha na kupoteza wateja na ndo maana hawajachange vitu vingi!!!!whatsapp ilikuwa maarufu sana hata kabla ya Mark Z kuinunua. kwanza sijaona alichoongeza, na sioni kibiashara yeye inamsaidia nini, hii huenda le walimtumia tu kuinunua ili watupie mambo yao kirahisi.
vipi limitation ya videos kusend???!au ni mb 16 kama whatsapp???! na pdf files jee??!Telegram ina uwezo wa ku accomidate user 200 lakin tatizo kubwa iko slow sana, whatsapp ina accomodate user 50 ila iko light
Hii hike nimeijaribu, ni ina interface nzuri nice icons. Lakini tatizo ni idadi ya watumiaji. Kwangu nimekuta watu wa 3. Kati ya hao ni mtu 1 tu ndio naweza chat nea. :wacko:
hapo kuna ukweli pia ila naamini ujio wa android kwa kasi nayo pia ina influence kubwa pia katika hiloo huyu bwana kuhusu kubadilisha baadhi ya developer options za whatsapp ni hofu ya kwamba labda wanaweza kuharibu radha na kupoteza wateja na ndo maana hawajachange vitu vingi!!!!
hapana inakubali kwa android tuuOs ya symbian nokia s4o inaweza kukubali?
daaah hapo kwenye hii feature inaangalia location nadhani kwa tanzania haifanyi kazi,ila features zingine kama kawaidaa!!nimeiweka kwa simu yangu ila tatizo 8naniambia naweza kutuma sms india tu,naomba msaada hapo jinsi ya kuweza kutuma kwa watu mbalimbali hata wa East africa.
oh kumbe inajitahidii japo haijafikia volume ya hike ambayo ni 100mb na vipi kuhusu pdf??!Telegram inatuma files mwisho 25mb
daaah hapo kwenye hii feature inaangalia location nadhani kwa tanzania haifanyi kazi,ila features zingine kama kawaidaa!!
licha ya hicho feature zipo nyingi tuu watu tunaenjoy tuu tunabadirishana mpaka softwares sio mpaka uingie playstore tena apps nyingine playstore ni paid lakin kwa hike mtu anaweza akakutumia android app katika apk formkwa mantiki hiyo haifai kutumia kwa watu wa tanzania mpaka uende india?je watu wanaosema ni nzuri ni kwamba ni wa nchi za nje ya tz.
licha ya hicho feature zipo nyingi tuu watu tunaenjoy tuu tunabadirishana mpaka softwares sio mpaka uingie playstore tena apps nyingine playstore ni paid lakin kwa hike mtu anaweza akakutumia android app katika apk form
aliyewah ku2mia telegram a2pe taarfa bac
hakikisha mtu unaemtumia sms nae anayo hike maana ile option ya kutuma sms kwa mtu ambae hana hike haifanyi kazi kwa sasa labda kwa watu wa india tuu,lakini mambo mengine unafanya kama kawaidatatizo kwangu Hike wananiambia siwezi kutuma sms au video mpaka niwe nchini india sasa hapo mnanisaidiaje ili nami nifaidi hii kiyu jamani