Hike nouma whatsapp tupa kulee(tatizo promo)

Hike nouma whatsapp tupa kulee(tatizo promo)

da irritant boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
407
Reaction score
455
Dah hike ni zaidi ya whatsapp kwa feature hizii-unaweza kutuma file zimaa na contents zake ila zisizid mb100-unaweza kutuma video ya mb100 sio kama whatsapp mb16 tuu, hadi muvi unaweza kuituma ikiwa compressed au zipped-pia unaweza kutuma docoment na attachement mpaka mb 100 eg pdf files-pia ni salama kwan sio kila mtu anaweza kukutext tuu akiwa na contact yako lazima umkubalie kwanza-group chat.

Pia ipoo na mwisho ni watu miaa-pia unaweza kuchat na mtu asietumia hike au hata kama anayo na hajaweka bando, sms zinafika kama sms za kawaida-haina malipo kwa kipindi choote utakachotumia sio kama whatsapp unalipa dola moja baada ya mwaka mmoja wa bure Chukua hike hapa

Hike | Home
 
ni nzuri nimependa option ya kuattach pdf.. kitu ambacho nimekikosa watsapp,,
 
Tatizo haitakaa Itakuwa kama telegram
.. inapata umaarufu baadae watu wanatupa kule... kisa Copy and Paste za Developers
 
Dah hike ni zaidi ya whatsapp kwa feature hizii-unaweza kutuma file zimaa na contents zake ila zisizid mb100-unaweza kutuma video ya mb100 sio kama whatsapp mb16 tuu,hadi muvi unaweza kuituma ikiwa compressed au zipped-pia unaweza kutuma docoment na attachement mpaka mb 100 eg pdf files-pia ni salama kwan sio kila mtu anaweza kukutext tuu akiwa na contact yako lazima umkubalie kwanza-group chat pia ipoo na mwisho ni watu miaa-pia unaweza kuchat na mtu asietumia hike au hata kama anayo na hajaweka bando ,sms zinafika kama sms za kawaida-haina malipo kwa kipindi choote utakachotumia sio kama whatsapp unalipa dola moja baada ya mwaka mmoja wa bure Chukua hike hapa Hike | Home
Mkuu inatofauti gani na Telegram
 
yaaaah ndo maana tunasema tatizo promo huyu mmiliki wa facebook,insta na whatsapp we acha tuu kama alivo yaan baada ya yeye kununua whatsapp,imepata umaarufu saana sijaona
 
Inauwezo wa kupiga voice calls au video calls?
 
hako ka option ka pdf... tunako kwa BBM ages ago....
ha ha ha sawaa ila kwa upande wa space hike iko very light na pia unaweza kuihamishia kwenye memorycard sio kama bbm na kwa upande wa limit ya mb za pdf kwa huko bbm sijajua ila huku ni mpaka 100mb
 
bac haina haja ya kui2mia,afu nimejarbu kuiweka naona majna ma3 2,,
kwa mambo ya kiofisi kushare pdf na format zingine za mafaili inafaa saana kuliko hata email hayo majina matatu ndo idadi ya contacts zako zinazotumia hike ,maamuzi tuu
 
Telegram ina uwezo wa ku accomidate user 200 lakin tatizo kubwa iko slow sana, whatsapp ina accomodate user 50 ila iko light
 
yaaaah ndo maana tunasema tatizo promo huyu mmiliki wa facebook,insta na whatsapp we acha tuu kama alivo yaan baada ya yeye kununua whatsapp,imepata umaarufu saana sijaona

whatsapp ilikuwa maarufu sana hata kabla ya Mark Z kuinunua. kwanza sijaona alichoongeza, na sioni kibiashara yeye inamsaidia nini, hii huenda le walimtumia tu kuinunua ili watupie mambo yao kirahisi.
 
Back
Top Bottom