ahaa ni app za screensot mkuu, ipo moja inakuja na windows inaitwa sniping tool, search jaribu kuitumia, ukiona feature hazikutoshi download 3rd party app kama hiziMkuu naongelea hizo rectangleza red zinawekwaje, wengine naon wanaweka circle tena zipo very perfct
Tumia LightshotApp inayeweza ku high light kama hivi ni ipi??![]()
Oky mkuuu, ila hakun apps za simu? Ambazo naweza tumiaTumia Lightshot
Lightshot — screenshot tool for Mac & Win
select eneo unalotak ku capture kisha bonyeza kitufe cha rectangle
Hiyo ni free and lightweight app hai consume resources za PC yako sana
Ila pia kuna Snagit Snagit
ina features nyingi zaidi ila nafikiri ni ya kulipia