Hii Zuku ikoje?

tena ukipata receiver ambayo ina nguvu na mpeg4 kama strong srt 4899x,astrovox nk utaipata mpaka dubai sports ambayo wanaonyesha epl tena wakitangaza kwa kiingereza.channel nyingi siku hizi zinarusha matangazo kwa mtindo ambao ukiwa na mpeg4 unazikamata vizuri.mediacom ni receiver ambazo hazina nguvu kabisaaa labda kwa channel zetu inafaa.

Hapo kwenye receiver nimekupata kaka je? Ni ungo gani ambao ni best (nguvu) zaidi ili niweze kuutumia na LNB ya aina gani nayo inabidi niitumie ili niweze kufanikisha kuona mpaka hiyo dubai sport??
Nashukuru xana kwa maelezo yako mkuu na msaada wako.
 
Back
Top Bottom