boyfriendy
JF-Expert Member
- Sep 9, 2012
- 1,988
- 1,034
Hii ya RAIA MWEMA imeniacha mdomo wazi.... hahahaaaaaa
- TBC Ilikua Inatangaza Habari fulani fulani tu lakini sasa ime uturn
- Kulikua na Mabango ya Kumkashifu Edo Yameondolewa barabarani
- RAIA MWEMA imefanya Uturn ya ghafla
- Humphrey Polepole amekuwa kimya ghafla
- mafuriko yanazidi kuongezeka upande fulani
- ...........................................................
Lowassa ndiye rais,nategemea kuona Uturn nyingi tu hata huku JF.
Fanyeni haraka kuungana na sisi jeshi la mabadiliko enyi wana wapotevu,muda bado haujaisha bado siku 23 tufanye mapinduzi.
Anakoishi huyu babu anayejiita Mzee Mwanakijiji ?Mkuu, kumzungumzia HUmphrey polepole ni insult kwa watu wenye akili zao
mashoga hawana nafasi bado labda wahamie detroit
raia mwema wamenishangaza
au hawakukamilishiwa mshiko walioahidiwa na ccm?
Wameanza kung'amua kwamba Lowassa ndiye rais! By the way, mtu mwenyewe wanayemtukana wala hata hana muda wa kuwajibu
- TBC Ilikua Inatangaza Habari fulani fulani tu lakini sasa ime uturn
- Kulikua na Mabango ya Kumkashifu Edo Yameondolewa barabarani
- RAIA MWEMA imefanya Uturn ya ghafla
- Humphrey Polepole amekuwa kimya ghafla
- mafuriko yanazidi kuongezeka upande fulani
- ...........................................................
wazungu huita PERIPETEIA

wale vijana maarufu wawili WAliokuwa wakimtukana mzee wetu hawasikiki tena.
kura zote kuhesabiwa na majibu kubandikwa kituoni.
ngome za chama tawala sapoti Yao kuhamishia upinzani mfano tanga,pwani,lindi,mtwara,ruvuma,dodoma ,morogoro na kundi la wazee na wanawake.
Now back to the topic.
Nafikiri kwasababu wanajua waangalizi wakimataifa wako tayari wanaangalia mchakato (kampeini, kupiga kura, kutangaza na nafikiri siku kadhaa baada ya kutangazwa).
Si unajua unafiki wa baba nanihii ni typical mswahili
Fiesta ya nini tena na wasanii wameshafanya shows za bure kwenye Fiesta ya CCM?
Hakuna mwenye akili mbovu anayeweza kupoteza fedha zake kwa kuandaa fiesta ya pili maana ni hasara tu.
Wasanii wameshapiga show almost mikoa yote.
mtu mwenyewe wanayemtukana wala hata hana muda wa kuwajibu
- TBC Ilikua Inatangaza Habari fulani fulani tu lakini sasa ime uturn
- Kulikua na Mabango ya Kumkashifu Edo Yameondolewa barabarani
- RAIA MWEMA imefanya Uturn ya ghafla
- Humphrey Polepole amekuwa kimya ghafla
- mafuriko yanazidi kuongezeka upande fulani
- ...........................................................
Aliyekwambia wanafanyavshow za bure ni nani, ccm inawalipa kama hujui, we unadhani kwanini ray na aunt ezekiel wamerudi ccm, ni mavumba, hivyo wanalipwa tena pesa nyingi sana