Hii You Turn Inatia Shaka

Mkuu, kumzungumzia HUmphrey polepole ni insult kwa watu wenye akili zao

mashoga hawana nafasi bado labda wahamie detroit
basi mkuu nimekusikia nafuta hapo pa polepole
 
asante sana hata mimi nimejigundua na kurekebisha. ubinadamu ni kukosea pia Kaunga
 
Madai yao eti alikuwa ananunua watu,huyu mzee anakubalika bwana.
Yaani binafsi nikimuona nachanganyikiwa!Natamani atangazwe Rais tu nifuraaahi hadi nizimie!...lol
wale wale waliokua wanaimba tuna imani na lowassa ndio hao wansema ananunua watu basi na wao walikua wananunuliwa
 
Wameanza kung'amua kwamba Lowassa ndiye rais! By the way, mtu mwenyewe wanayemtukana wala hata hana muda wa kuwajibu
Katika vitu ambavyo huyu mzee amewashinda wapinzani wake ni uwezo wake wa kupuuzia kashfa zao na matusi zinazoelekezwa kwake na kusimamia kampeni za kistaarabu kama alivyoahidi mwanzoni alipoanza kampeni. Ukisikiliza hotuba zake na ukalinganisha na hotuba za JPM unaweza dhani JPM ndiye anawakilisha UKAWA kwa jinsi anavyoishambulia serikali ambayo na yeye ni sehemu yake.
 
Ujio wa waangalizi wa kimataifa na ikizingatiwa Msafiri yupo NY anakula burger, lazima wachange
 

ukitukanana na kichaa nani chizi zaidi?? Ni kutumia akili ndogo tu!
 
Na wakimkata tena tena diamond kwenye urais mana ndo namuona sna kwenye majukwaa ntapiga kula upinzani mana ccm mmezoea kukata wa2


Lowassaaa jmn shidah chukua mapema kula yng
 
Ni mwendawazimu tu ndiye anayeweza kuishabikia ccm au anayepata rushwa na kuendesha maisha ya kiujanja ujanja kupitia ccm ndiyo wapiga kura wa ccm !
Hakuna anayefanya kazi ya halali anayeweza kuipigia kura ccm !!
 

Tumwache Mungu aitwe Mungu!
 
raia mwema wamenishangaza
au hawakukamilishiwa mshiko walioahidiwa na ccm?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…