Fiesta ya nini tena na wasanii wameshafanya shows za bure kwenye Fiesta ya CCM?
Hakuna mwenye akili mbovu anayeweza kupoteza fedha zake kwa kuandaa fiesta ya pili maana ni hasara tu.
Wasanii wameshapiga show almost mikoa yote.
Lowassa ndiye rais,nategemea kuona Uturn nyingi tu hata huku JF.
Fanyeni haraka kuungana na sisi jeshi la mabadiliko enyi wana wapotevu,muda bado haujaisha bado siku 23 tufanye mapinduzi.
Mkuu, kumzungumzia HUmphrey polepole ni insult kwa watu wenye akili zao
mashoga hawana nafasi bado labda wahamie detroit
- TBC Ilikua Inatangaza Habari fulani fulani tu lakini sasa ime you turn
- Kulikua na Mabango ya Kumkashifu Edo Yameondolewa
- RAIA MWEMA imefanya You Turn ya ghafla
- Humphrey Polepole amekuwa kimya ghafla
- mafuriko yanazidi kuongezeka uoande fulani
- ...........................................................
Aliyekwambia wanafanyavshow za bure ni nani, ccm inawalipa kama hujui, we unadhani kwanini ray na aunt ezekiel wamerudi ccm, ni mavumba, hivyo wanalipwa tena pesa nyingi sana
Mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe.
Sisi tunangoja Magufuli kuapishwa tu.
Aliyekwambia wanafanyavshow za bure ni nani, ccm inawalipa kama hujui, we unadhani kwanini ray na aunt ezekiel wamerudi ccm, ni mavumba, hivyo wanalipwa tena pesa nyingi sana
Mkuu hebu fafanua zaidi, unapataje huo muwashawasha ukimuona mamvi?
Mkuu umeshuhudia mwenye chair wa NCCR jana alivyokuwa anaongea huku amebenjua midomo huku ananing'iniza mikono? Si bure pale yakheeee
Mkuu umeshuhudia mwenye chair wa NCCR jana alivyokuwa anaongea huku amebenjua midomo huku ananing'iniza mikono? Si bure pale yakheeee
Gazeti pekee Tanzania ambalo mtu yeyote mwenye akili na hekima duniani kote,anaweza kutenga muda wake na kulisoma ni RAIA MWEMA.Wewe haulisomi vizuri na km unalişoma,unapitia tu headıngs.Kalisome tena wiki ijayo ama soma makala ya Mbwambo wk hii alafu urudi hapa.Ni gazeti linaandıka uhalisia na tafakuri jadıdi ya mambo.Toka mwanzo liko na wanamwongelea kila mmoja kwa uzito unaostahilı.
Wewe utakubali mwanao aolewe na jambazi kisa ana hela??Lowasa hatakuwa rais,nyie endelea na mbwembwe zenu!
Madai yao eti alikuwa ananunua watu,huyu mzee anakubalika bwana.
Yaani binafsi nikimuona nachanganyikiwa!Natamani atangazwe Rais tu nifuraaahi hadi nizimie!...lol