Ndugu yangu kama una muda mzuri fanya kama mimi, kusanya hizo notification, hakikisha unayempa pesa au fine whatever you call it, ameweka sahihi na majina yake yote. Mpe mda wa kula hizo pesa hata wiki mbili au tatu kisha uende kituoni kwake ukaonane na mhasibu ili kudai risiti yako ambayo ni halali yako. Kitakachotokea ni mhasibu kumpigia simu polisi aiyekukamata kwamba aiwakilishe pesa ili upewe risiti yako, cheki atakavyokubembeleza sasa myamalize maana hatakua nahiyo pesa
Wadau naombeni msaada! Hii ya traffic police inanipa shida kidogo kuielewa! Nimekwenda kulipa sumatra ukaguzi wa gari unafanyika kwa elfu 10, na ukienda kwa ajili ya loss report charge yake ni elfu 5, ambazo kwa taratibu za police hasa Arusha zinatakiwa zilipwe kwa mhasibu wa police! Taratibu mpya ni kwamba utakwenda kwa mhasibu atakupa bank sleep ambazo utakwenda kulipa NMB !
Majuzi nimekwenda kukaguliwa gari police kwa ajili ya kupata sumatra lakini taratibu nilizopitia nikama nilivyoeleza! Unapitia traffic then wanakuelekeza kwa mhasibu then NMB halafu unarudi kwa mhasibu unampa bank slip na yeye anakupa stakabadhi ya serikal ambayo utakwenda nayo kwa vehicle inspector atakagua gari husika na atakujazia form ambayo utaipeleka ofisi za sumatra!
Traffic Arusha wanasimama barabarani kwa kundi hadi la police 20 na wanatoza penalt magari hadi zaidi ya makosa matatu kwa gari moja, ambayo kwa mujibu wa sheria ni itakuwa ni 90,000 na kuendelea!
Tatizo langu lipo hapa , kama watahitaji loss report ya tsh 500 ilipwe bank! na bank slip ipelekwe kwa mhasibu ili upewe stakabadhi ya serikali! inakuwaje hizi nyingi zilipwe barabarani bila mhasibu but just police form as they call it notification? Je hivi ndivyo pesa za serikali zinakusanywa!
Traffic act zinatungwa na bunge na motor vehicle lisence haiko kwenye trafik act kama ikiisha muda wake, sababu TRA watakuadhibu wenyewe cha ajabu traffic Arusha wakucharge penalt ya motor vehicle! Je sheria za nchi hii zinaruhusu mtu aadhibiwe mara 2?
Wadau nisaidieni kama sheria za nchi hii zinaruhusu uadhibiwe na police na pia Sumatra ?
Naombeni mnijibu wakuu!

Hizo police notification books zipo kibao zinatengenezwa mjini kwa mshkaji, ila traffic ameamriwa na bosi wake kukamata angalau makosa matatu, yaani sikuhizi wanakamata mpaka wakwe zao
Wewe f.ala unafikiria kwa kutumia mata'ko. Mtoa mada, uliyosema ni sahihi.. Nilienda traffic police nikapata hilo tatizo pia. Suala la polisi wa arusha kujazana kwenye kituo kimoja barabarani lipo kila mahali.Sasa matatizo yako ya maisha unatuletea hapa ya nini?
Kwa ufupi michango yako inakera sana jipange vizuri kabla ya kuchangia jf ina hadhi yake.Mimi nilikuwa traffic for five yrs na hilo ni moja ya makosa ambayo nilikuwa nayakamata sana
Sasa matatizo yako ya maisha unatuletea hapa ya nini?
umasikini ndio unasumbua hamna kingine
lini sheria ikaingizwa kwenye siasa
Ndugu yangu kama una muda mzuri fanya kama mimi, kusanya hizo notification, hakikisha unayempa pesa au fine whatever you call it, ameweka sahihi na majina yake yote. Mpe mda wa kula hizo pesa hata wiki mbili au tatu kisha uende kituoni kwake ukaonane na mhasibu ili kudai risiti yako ambayo ni halali yako. Kitakachotokea ni mhasibu kumpigia simu polisi aiyekukamata kwamba aiwakilishe pesa ili upewe risiti yako, cheki atakavyokubembeleza sasa myamalize maana hatakua nahiyo pesa
Hivi wanaitwa Traffic Police au Police Traffic
Ndugu bottom line nu kwamba malipo yeyote lazima upewe stakabadhi or cash receipt na kwa serikali ni ile nyembamba ya rangi nyekundu hivi. sijui wanaita exchequer receipt. so notification sio stakabadhi. ukiandikiwa ile anatakiwa akupe risiti kama utatoa hela pale. otherwise unaibiwa.
Sasa matatizo yako ya maisha unatuletea hapa ya nini?
Mimi nilikuwa traffic for five yrs na hilo ni moja ya makosa ambayo nilikuwa nayakamata sana
Chriss angalia mada za kuchangia kishabiki na mada za kuchangia kiungwana. Huu ni ufafanuzi wa hali halisi huko barabarani na wala hauna uhusiano wowote na ushabiki unaotaka kuuleta hapa, ama mwenzetu huishi hapa nchini nini? Jiheshimu tu ili heshima yako ipande.
Sasa matatizo yako ya maisha unatuletea hapa ya nini?
Very senseless and imbecile comment.Mimi nilikuwa traffic for five yrs na hilo ni moja ya makosa ambayo nilikuwa nayakamata sana