DungaMawe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 1,461
- 4,409
Yani haka ka kauli katafanya watu wengi wakachomwe moto(kama kweli upo) na ndo kanafanya watu wengi awaachi kufanya dhambi mana kila siku wanajipa moyo "hii haki ya Mungu ni ya mwisho" na kesho tena anarudia huku akijipa moya na kauli yake HII YA MWISHO
.
UZI TAYARI
.
UZI TAYARI