Hii ya 'msitu' imekaaje?

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
0
Wandugu, wiki iliyopita nilitoka na kidada flani masista duu wa hapa ofisini, nilikuwa na mtamani muda mrefu, kwa hiyo hii ilikuwa nafasi adimu. Ila kuna kitu nimekiona kwake naomba oponion zenu. Ukweli ni kwamba binti ni mzuri kwa shape ila 'hakufagia shamba lina magugu marefu'. Ukweli mi huwa sipendagi hivyo nikajilazimisha ili asinione ****. Mwisho nikamwambia ' next time come shaved' akanijbu ' I like it hairy!' Nyie mwalionaje hili?
 
roselyne1

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
1,369
0
ungemwambia kwa ustaarabu kama anakupenda angekuelewa.umemwambia kwa ngebe ndio maana na yeye kakujibu mkato
 
Rungu

JF-Expert Member
Feb 23, 2007
3,935
2,000
...hakufagia shamba lina magugu marefu.
Hayaitwi magugu marefu yanaitwa mavuzi! Kama roselyne1 alivyokushauri, ungemwambia kwa ustaarabu badala ya kutoa oda eti 'next time come shaved'. Inaonekana unapenda ukazaji wa kijeshi jeshi aisee, shauri yako!
 
BABA JUNJO

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
241
0
Kwa wenine ndo starehe yao. Hasa mimi i'm hairly and i like hairly. Si kam rasta jamaniiii cha ajabu nini??
 
BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
3,906
2,000
... Mkuu, angalau basi ungesubiri mkarejea kitendo mara mbili tatu ndio umuambie kuhusu ku-shave off 'muztache' yake! Siku ya kwanza Tu??
 
Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,141
2,000
Ulivyomwambia next time come shaved, I'm sure she must have thot 'there wont be a nxt time!'
Ni kipilipili au zina afya.
Embu piga picha halafu mwonyeshe ujasir unaohitaj kuingiza kiungo chako noko! And promis her a double orgasm if she shaves!
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
11,604
2,000
mbona hayana noma kabisa sema kama ni mzee wa uvinza yanaweza kukuingia puani au machoni lakini kama ni mtu wa chape ilale wala hamna noma hapo tena ikiwa unshaved ndio inapendeza zaidi. Halafu acha kuchukua mademu wa ofisini nyie ndio mnapunguza kasi ya utendaji kazi kwa kufikiria mapenzi ofcn
 
Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
6,978
2,000
Wandugu, wiki iliyopita nilitoka na kidada flani masista duu wa hapa ofisini, nilikuwa na mtamani muda mrefu, kwa hiyo hii ilikuwa nafasi adimu. Ila kuna kitu nimekiona kwake naomba oponion zenu. Ukweli ni kwamba binti ni mzuri kwa shape ila 'hakufagia shamba lina magugu marefu'. Ukweli mi huwa sipendagi hivyo nikajilazimisha ili asinione ****. Mwisho nikamwambia ' next time come shaved' akanijbu ' I like it hairy!' Nyie mwalionaje hili?

Kwani upo peke yako? Wengine wana m-do wanapenda mavuzi - So kama idadi ya wapenzi wa mavuzi ni kubwa hana haja ya kuyanyoa - Inaelekea pia ofisini kwenu kuna dalili ya ukahaba! - Huyo sista duu inaelekea anaweza kutoka na kila atakaye!
 
AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
0
Wandugu, wiki iliyopita nilitoka na kidada flani masista duu wa hapa ofisini, nilikuwa na mtamani muda mrefu, kwa hiyo hii ilikuwa nafasi adimu. Ila kuna kitu nimekiona kwake naomba oponion zenu. Ukweli ni kwamba binti ni mzuri kwa shape ila 'hakufagia shamba lina magugu marefu'. Ukweli mi huwa sipendagi hivyo nikajilazimisha ili asinione ****. Mwisho nikamwambia ' next time come shaved' akanijbu ' I like it hairy!' Nyie mwalionaje hili?

HUYO ATAKUWA Clearner AU Gardener KUACHA VUZI LIMESHAMIRI NI UCHAFU NA KIAFYA HAIRUHUSIWI
 
AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
0
AU Mpishi HAPO OFISINI KWENU MAANA HAWA WAKO BIZE SANA HAWANA MUDA WA KUNYOA VUZI
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom