BT ATA WA MWAKA HUU MKATABA KWENYE FOMU NI 8% KWAHYO LABDA WA MWAKANIKama Sharia imesainiwa na Raid basi itaanza kutumika kwa wanafunzi waliopewa mikopo kuanzia 2017 na kuendelea...Kwamaana hiyo wale wote waliomaliza vyuo vikuu na walipewa mikopo na waliomaliza kuanzia 2016 kurudi nyuma hii sheria ya 15% haiwahusu maana waliingia mikataba na Bodi ya Mikopo hii sheria ikiwa haipo.....Huu ndo uzuri wa Sheria....Lakini Tusishangae maajabu ya 8 ya Dunia yakatokea Tanzania