Hii ya kukatwa 15% ni kweli?

tandoor

Senior Member
Jun 10, 2016
170
128
Nimesikia kuanzia January wale wanaodaiwa na heslb kuanzia january kukatwa 15%,je hizi habari ni za kweli wajameni?
 
Kama Sharia imesainiwa na Raid basi itaanza kutumika kwa wanafunzi waliopewa mikopo kuanzia 2017 na kuendelea...Kwamaana hiyo wale wote waliomaliza vyuo vikuu na walipewa mikopo na waliomaliza kuanzia 2016 kurudi nyuma hii sheria ya 15% haiwahusu maana waliingia mikataba na Bodi ya Mikopo hii sheria ikiwa haipo.....Huu ndo uzuri wa Sheria....Lakini Tusishangae maajabu ya 8 ya Dunia yakatokea Tanzania
 
Wengine tulisoma bila hii mikataba na hatukua na makubaliano italipwaje. Kama ya 15%/itaanza baada ya kusainiwa 2016, tunasubiri na hiyo ya 8% itaanza lini maana haijasainiwa.
 
Kama Sharia imesainiwa na Raid basi itaanza kutumika kwa wanafunzi waliopewa mikopo kuanzia 2017 na kuendelea...Kwamaana hiyo wale wote waliomaliza vyuo vikuu na walipewa mikopo na waliomaliza kuanzia 2016 kurudi nyuma hii sheria ya 15% haiwahusu maana waliingia mikataba na Bodi ya Mikopo hii sheria ikiwa haipo.....Huu ndo uzuri wa Sheria....Lakini Tusishangae maajabu ya 8 ya Dunia yakatokea Tanzania
BT ATA WA MWAKA HUU MKATABA KWENYE FOMU NI 8% KWAHYO LABDA WA MWAKANI
 
Back
Top Bottom