Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Bahati nzuri uko Arusha hivyo uliza Crashwise ni nani utaambiwa kama utataka....maana hii ni mara ya pili kuinihusisha na katibu wa Lema....Wewe utakuwa ndiyo Mgonja bwahaaaa haaaa aaaaa.Nakushangaa sana leo haujaunganisha link leo.
Bahati nzuri uko Arusha hivyo uliza Crashwise ni nani utaambiwa kama utataka....maana hii ni mara ya pili kuinihusisha na katibu wa Lema....
Vipi leo hoja yako kwa hili ni nini maana sijakuelewa unangata na kupuliza kinafiki kama kawaida yako...
umesema uchaguzi 2012, unatabiri nani ataibuka bunge maana mwaka jana ulitabiri ukaangukia pua sijui yule mbunge wako (TLP) kama alifikisha hata kura 100 hahahahahahahahahahah....au safari hii mtaunganisha nguvu na magamba ili mmwondoe lema.....kwa hapa Arusha subiri ni siyo kwa sasa tena tutawapiga kokote safari hii
Ngongo uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ingawa huwa unatamba kuwa wewe ni msomi ninapata wasi wasi na usomi wako sasa kwenye barua ya kuijulisha ofisi ya bunge kazi mpya ya Ngoja ilikuwa na umhimu gani...Point yangu Mbunge kasema Mgonja kapata kazi ingine[hajaitaja] kumbe kazi yenyewe ujambazi.
Sikuwahi kuishi mitaa ya SHIVAZ....Mkuu vipi bado upo ile mitaa ya Shivaz !.
Hili siyo gazeti huru, sipotezi mda wangu kulisoma
Sikuwahi kuishi mitaa ya SHIVAZ....
Ngongo uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ingawa huwa unatamba kuwa wewe ni msomi ninapata wasi wasi na usomi wako sasa kwenye barua ya kuijulisha ofisi ya bunge kazi mpya ya Ngoja ilikuwa na umhimu gani...
au mtu anapo taka kuasha kazi lazima akuambie anaenda kufanya kazi gani....
Je Lema anapaswa kujua maisha binafsi ya Ngoja...Tumhukumu Lema kwa makosa yake kama mbunge wa Arusha na siyo makosa ya Ngoja...
hahahahah naona umeamua kufurahisha jukwaa hii ina weza kutokea kama huna kingine cha maana cha kuchangia...kupata mkasa haiimanishi lazima uwe unashi hapo unaweza ukaenda Mbeya ukapatwa na mkasa ina maana ukiuelezea utakuwa unaishi Mbeya.......Mkuu unakata mitaa yako au umesahau wale dada poa walivyompasha wife wako.
kwa kuwaa unamjua Lema tangu akiwa mdogo hebu waambie wana jamvi mahusianao ya Lema na Ngoja yalianza lini, na alikuwa katibu wake kwa muda gani na wameshiriki matukio yapi nani kwanini hawakuwahi kukamatwa mpaka sasa baada ya kuichachafya CCM...Alieandika barua si mimi ni Lema muulize kulikuwa na haja gani kusema kapata kazi nyingine.Hakuna mtu aliyemhukumu Lema kwa makosa ya Mgonja ila ule msemo maarufu wa kiswahili "Ndege wa rangi moja uruka pamoja umeaanza kudhihirika".
hizo ni njamaa tuu!!!
hakuna ukweli wowote!!!
Watu waliokunywa maji ya bendera ya CDM, hamuoni hata mapungufu ya wazi.Hata kama ingekuwa kweli, Lema anahusikaje na maisha binafsi ya katibu wake? Baada ya muda wa kazi Lema na katibu wake kila mtu anajijua.katibu wa Lema anakula nini, anafanya nini, anakaa wapi si kazi ya Lema.
Bahati mbaya tumeshaambiwa tena kuwa Mgonja siyo katibu wa Lema. Halafu gazeti la serikali ambayo inatumia jasho langu kwa njia ya kodi ndo inaleta udaku huu hadharani.
Kwanza ni hatari, pili ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
<br />
<br />
Jamani katibu wa Mbunge ni Gabriel Mbuki, mimi mwenyewe nimewasiliana naye, yupo ofisini kwa Mbunge. Kuhusu huyo Lucia ilikuwa ni mazingira ya mwanzoni wakati wa mchakato wa kumtafuta katibu wa kudumu. Vile vile labda suala la jinsia ndiyo iliyosababisha Lucia kutokuwepo hapo.
Watu waliokunywa maji ya bendera ya CDM, hamuoni hata mapungufu ya wazi.
Jamii inajudge mtu kwa company ya watu walio karibu naye.
Huyo jambazi Mgonja amefanya kazi kubwa kumuinua mwenziwe Lema kwenye kiti cha ubunge,
Kama mke/Mme anaweza kuwa jambazi na usigundue itakuwa lema na Ngoja.....Hivi nani mmiliki wa Richmond/DowansWatu waliokunywa maji ya bendera ya CDM, hamuoni hata mapungufu ya wazi.
Jamii inajudge mtu kwa company ya watu walio karibu naye.
Huyo jambazi Mgonja amefanya kazi kubwa kumuinua mwenziwe Lema kwenye kiti cha ubunge,
<br /><br />Nawashangaa mnaoshangaa Lema ni jambazi lazima katibu wake ni jambazi majambazi yamepeana shavu.
Turudi kwa Mh.Lema bwana mukubwa, usihamishe goal posts, rudi kwenye mada.Kama mke/Mme anaweza kuwa jambazi na usigundue itakuwa lema na Ngoja.....Hivi nani mmiliki wa Richmond/Dowans
Duh kweli humu kuna vichaa!!MHESHIMIWA LEMA KAWALIPE CCM HUNDI YAO KWA MATANGAZO HAYA
MAZURI NA KUKUPANDISHA CHATI KI-TAIFA KILA KUKICHA