<br /><br />
<br /><br />
Lema hana cha kujibu hapo, na hana muda wa kujibu pumba zako. Cha msingi Mgonja aliwahi kufanya kazi na Mbunge Lema, baadaye akaacha/kuachishwa. What happened was personal. Tukitaka kujua mahusiano ya namna hiyo, tutataka kwanza tujue uhusiano wa Kikwete na aliyekuwa kamanda wa zamani wa vijana wa ccm manyara ndg Justine Nyari, jambazi aliyefungwa jela miaka 30, chakushangaza akatoka kwa msamaha wa Rais. Vile vile tunaweza kuhoji uhusiano wa Makada wengi wa ccm akiwepo Malecela na majambazi. Kuna taarifa tuliwahi kuzisikia kwamba wale majambazi waliomteka na kumfanyia mchezo mbaya Mke wa Malecela nao walifanyiwa kitu mbaya hadi kifo na makamanda wa Malecela. This is too personal tatizo watu mnapenda kukuza mtadhani mna jaribu ku undermine umaarufu wa Lema, matokeo yake ndio mnampandisha chati. Endeleeni hivyo hivyo, nawaambia ccm kuchukua jimbo la Arusha ni ndoto.