Hii Ya Katibu wa Mbunge Lema Imekaaje?

Hii Ya Katibu wa Mbunge Lema Imekaaje?

Mambo ya Nkono yametokea wapi hapa tunazungumza ujambazi wa Lema mzee acha uvivu wa kufikiri.Ukitaka kumjadili Mkono fungua thread yake tutajimwaga.Ufisadi wa Mkono hauwezi kuwa utetezi wa ujambazi wa Lema.

uKIJUBU NA HILI JIBU NA HILI HAPA CHINI


NIMROD ELIREHEMA MKONO
mkono.gif

Mheshimiwa Nimrod E. Mkono ni Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijiji na Mshiriki Mkuu wa kampuni ya mawakili ya Mkono & Company Advocates ya Dar es Salaam. Barua ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya Serikali inaainisha kuwa Benki Kuu imekuwa ikilipa malipo makubwa kwa Mkono & Co. Advocates hasa yale yanayohusu kesi ya Valambhia ambapo Benki Kuu inadaiwa jumla ya shilingi bilioni 60. Kwa mujibu wa barua ya wakaguzi tayari Mkono & Co. Advocates wamekwishalipwa shilingi 8,128,375,237 kwa fedha taslimu kwa kesi hiyo ambayo bado iko mahakamani. Malipo haya ni sawa na asilimia 13.5 ya deni lote inalodaiwa Benki Kuu. Hoja ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu ni kuwa kesi hii haina muda maalumu wa kumalizika na hivyo inawezekana kabisa malipo ya wanasheria yakazidi kiasi cha fedha inachodaiwa Benki Kuu.
 
Again makosa ya Patrick Rutabanzibwa si utetezi wa jambazi Lema.

RED SOMA HAPO CHINI

PATRICK W.R. RUTABANZIBWA
Kwa miaka mingi Patrick Rutabanzibwa alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini wakati mikataba mibovu ya madini inasainiwa na kashfa kubwa ya IPTL inatokea. Kwa sasa Bwana Rutabanzibwa ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji na vile vile Mkurugenzi wa kampuni ya kigeni ya Tangold Limited. Ufisadi unaomhusu umeelezewa kwa kina katika maelezo yanayomhusu Gavana Balali na Andrew Chenge. Hapa pia kuna mgongano mkubwa kati maslahi yake binafsi kama Mkurugenzi wa kampuni binafsi iliyopokea mabilioni ya fedha za umma na maslahi ya umma aliyotakiwa kuyalinda akiwa kama kiongozi wa umma
 
hizo ni njamaa tuu!!!
hakuna ukweli wowote!!!

Ila mekaa hivi kwa nini LEMA baada ya kutuhumiwa kuwa ni jambazi Hakwenda mahakamani wakati Zombe alisema anaushahidi.Mh.Lema ni mtu mkubwa sana ambaye si wa kutuhumiwa tuhuma nzito namna hii kisha akabaki kukanusha kwenye media bila ya kumtaka aliyeshutumu athibitishe.Hii inanikumbusha serikali wanapotuhumiwa kusema uongo bungeni na ikawa ni kweli wataomba uthibitisho kisha wanakaa kimya baada ya kuumbuka.Sasa hii ya aliyekuwakatibu wako tena eti na yeye ni jambaz.Hata kama unasingiziwa kwa nini tuhuma zilezile tena na watu wako wa karibu ama ndo network yenyewe.NINAWASISI SANA NA LEMA JUU YA HIZI SKENDO ZA UJAMBAZI HALAFU HATA KUOMBA ATHIBITISHIWE HATAKI...Tusiojua kitu tutabaki kuamini kwamba rafiki wa wa mwizi ni mwizi ama yawezakuwa tunaongozwa na Jambazi naomba Mungu isije ikawa hivyo.HON.LEMA prove to us that u a not supporter wako niko njiapanda.IF U ARE NOT MUNGU AKUPIGANIE MPAKA MUONGO ATAKAPOUMBUKA NA UTAKAPOKUWA PROVED INNOCENT.
 
Ila mekaa hivi kwa nini LEMA baada ya kutuhumiwa kuwa ni jambazi Hakwenda mahakamani wakati Zombe alisema anaushahidi.Mh.Lema ni mtu mkubwa sana ambaye si wa kutuhumiwa tuhuma nzito namna hii kisha akabaki kukanusha kwenye media bila ya kumtaka aliyeshutumu athibitishe.Hii inanikumbusha serikali wanapotuhumiwa kusema uongo bungeni na ikawa ni kweli wataomba uthibitisho kisha wanakaa kimya baada ya kuumbuka.Sasa hii ya aliyekuwakatibu wako tena eti na yeye ni jambaz.Hata kama unasingiziwa kwa nini tuhuma zilezile tena na watu wako wa karibu ama ndo network yenyewe.NINAWASISI SANA NA LEMA JUU YA HIZI SKENDO ZA UJAMBAZI HALAFU HATA KUOMBA ATHIBITISHIWE HATAKI...Tusiojua kitu tutabaki kuamini kwamba rafiki wa wa mwizi ni mwizi ama yawezakuwa tunaongozwa na Jambazi <b>naomba Mungu isije ikawa hivyo</b>.HON.LEMA prove to us that u a not supporter wako niko njiapanda.IF U ARE NOT MUNGU AKUPIGANIE MPAKA MUONGO ATAKAPOUMBUKA NA UTAKAPOKUWA PROVED INNOCENT.
<br />
<br />

Sina uhakika kama hakiitatendeka akienda mahakamani nawe unajuwa

Hizo mahakama zipo chini ya hao wanao mtuhum wanao ziendesha ni makada wa ccm

Huyo aliye mutuhum nijambazi mwuwaji alipo pelekwa mahakamani mahakama ilishindwa kutenda haki jee akipelekwa kwakosa ra kumtuhum itakuwa na uzito? ikiwa aliuwa hakutiwa hatiani pamoja na ushaidi wa mazingila

sinaimani na mahakama kesi zinazo husiana na wanasiasa hakuna haki au watumishi wa selikari maamzi yanatolewa kwa maelekezo kwa manufa ya watu fulani si kwa uma
 
Back
Top Bottom