Hii Ya Katibu wa Mbunge Lema Imekaaje?

Napingana na wewe kwa kusema kuwa kuna watu wa aina mbili, yani ama ni Mjinga au Mpumbavu. Najua kutokujua ukweli ni ujinga (si udhaifu), na upumbavu ni udhaifu mbaya sana. Je wale tunaoujua ukweli tayari, kwenye makundi yako utatuweka wapi?

Kuna watu wa anina mbili, wajinga wasio jua ukweli , na wapumbavu wasioamini hata wakiambiwa ukweli.
Chaguo la kundi la kuingia ni la mtu mwenyewe.

Hivi hawa CCM wamekosa kabisa jambo la kulipa uzito! Je ingekuwa ni gari ya Mbunge Lema imehusishwa kwenye huo Ujambazi, si tungemwona Mpaka Mkweree, Mkewe na Mitoto yao imejazana TBC1 ikiihubiri hiyo habari!

Shame on you CCM shame on you CCM Magamba Original. Tafuteni jinsi ya kurudisha japo kaimani kidogo toka kwa wananchi baada ya kuendelea kututesa kwa muda wote huu na maisha magumu badala ya kufanya Katibu Bandia wa Lema kama Mtaji wenu wa Kisiasa.

Kweli Washirikina Mmeishiwa sera baada ya kufa yule Mshirikina mwenzenu mkuu wa pale Magomeni.

Mkuu, hizi habari za kuandikia newsroom baada ya kuambiwa na Nepi ni upuuzi mtupu!!
Kwanza hata waandishi wenyewe ni vichwa maji, unaandikaje para moja inayopingana na nyingine???

Pathetic loosers!!!

Mkuu unaisumbua akilli yako bure, mpaka waTz watakapojua kinacholitesa taifa hili ni ile elimu ya UPE iliyokuwa inatolewa enzi hizo, ndiyo watu wake wanashika dau sasa watakuwa wameshaumia sana. UPE ilihitaji sana juhudi binafsi na uwezo wa kichwa cha muhusika juhudi tu isingetosha na wenye sifa hizo walikuwa wachache sana. Wengi ndio hawa mbao hakuwa na sifa hizo sasa wanavuruga mambo. Mbaya zaidi walio buni UPE angalau walipata elimu ya kueleweka ya mkoloni.

Subiri sasa hawa wanaokuja wa product ya shule za kata zilizo buniwa na wale wa UPE watakapoingia mitaani na kushika hatamu ndipo nchi hii itafika kiama chake.

Hahahahha eti Chadema ni chama Makini! Yani Msaidizi wa Mbunge anakua Jambazi! Mmmmh CDM chama makini?

We hvp mbona mgumu kuelewa unaambiwa katibu wa mbunge yupo huyo aliwahi kuwa na sasa yupo. CDM ni chama makini utake au usitake. Mbona huozo wa msekwa hawakuuzungumzia kishabiki kama huu, tatizo serikali ya ccmimejaa ushabiki na unafki.

Mkuu unaisumbua akilli yako bure, mpaka waTz watakapojua kinacholitesa taifa hili ni ile elimu ya UPE iliyokuwa inatolewa enzi hizo, ndiyo watu wake wanashika dau sasa watakuwa wameshaumia sana. UPE ilihitaji sana juhudi binafsi na uwezo wa kichwa cha muhusika juhudi tu isingetosha na wenye sifa hizo walikuwa wachache sana wengi ndio hawa sasa wanavuruga mambo. Mbaya zaidi walio buni UPE angalau walipata elimu ya kueleweka ya mkoloni.

Subiri sasa hawa wanaokuja wa product ya shule za kata zilizo buniwa na wale wa UPE watakapoingia mitaani na kushika hatamu ndipo nchi hii itafika kiama chake.

Mkuu,

kumbe hata waandishi wa habari leo wana elimu ya UPE! ndiyo maana wanaandika habari ya upande moja.
mwandishi wa habari aliyebobea kwenye taaluma yake angeuliza na upande wa pili kutaka kuthibitisha ukweli wa taarifa. huyu mwandishi kwa jinsi alivyojidhalilisha kwamba ni mbumbumbu, yaani hata hakumwuliza aliyempa taarifa kuwa huyo katibu wa mbunge anaitwa nani. yeye alichokisikia ni kwamba katibu wa mbunge kakamatwa then kakimbilia kuandika habari.
Shame on you HABARI LEO NA TBC YAKE.

Wakuu napita nitarejea baadae siunajua tena lazima tutetee dhambi ya mpiganaji wetu.Mwandishi wa habari atachambuliwa na kuchunguzwa ubora wa elimu yake kisa kamgusa mtu wetu.Gazeti lililoripoti na TV iliyotangaza vitasagiwa kwa kosa la kutupasha habari mbaya za mpiganaji.

Wakuu nilisema napita nashangaa vidole vinaendelea kuchezea keyboard.

Mkuu inapondikwa kwa mfano Afisa wa JWTZ akamtwa katika ujambazi inakuwa haina mantiki? Kwani huyo afsa huwa hana maisha yake binafsi? Nadhani Lema anaingia hapa kwa kuwa huyo aliyehusika ni Katibu Wake na kusingekuwa na jinsi kumtaja huyo Mgonja bila kumtata Mwajiri wake (Najua Mbunge humtafuta Katibu na Bunge hulipa kama sikosei).
Ikiwa ni kweli>mwenye akili timamu atashangaa endapo mtuhumiwa atawajibishwa na mwajiri wake na siyo tuhuma.

Sina imani na gazeti la mtaa wa lumumba, kwani almost magazeti yote habari zao zinafanana so nashangaa hii ipo kwy h.leo tu

Sina imani na gazeti la mtaa wa lumumba, kwani almost magazeti yote habari zao zinafanana so nashangaa hii ipo kwy h.leo tu

Mkuu,
soma habari namba 52 na 54 kwenye hii thread ujue jinsi habari leo na tbc yake wanavyopotosha ukweli

Sitashangaa ikiwa kweli.....mbona Msekwa kafanya uharamia kwenye mbuga za wanyama ambao ni zaidi ya ujambazi!!??? Mbona mtoto wa nanilii inasemekana anauza MADAWA YA KULEVYA!!?? Tanzania kila kitu kinafanyika wadau, tatizo ni pale unapokua upande tofauti na wanaohodhi mfumo wa utawala, cha moto utakiona!!!

Acha uoga wewe, mtoto wa nanihii ndo nani? Unaogopa hata kivuli? Mwaga live bana.

Mkuu vipi mbona povu linakutoka kwani habari za ujambazi wa mbunge zimeanza kusikika leo katibu wake kakamatwa imekuwa nongwa hutaki tujadili ?.Kuna mwanajamvi mmoja kasema aliyekamatwa alishakuwa katibu wa Mbunge lakini sasa yupo mwingine kamtaja na jina tatizo ni nini ?.Hivi akikamatwa katibu wa John Mnyika au Halima Mdee unadhani itakuwa habari kubwa ?.Kwanini Katibu wa Lema akihushishwa na ujambazi unaweweseka.Kwani Lema kamtuma ?,Lema anawajibika na matendo maovu ya mfanyakazi wake ?.

Kamanda wangu Crashwise hodari sana wa kuunganisha mabandiko yangu sijui leo atayaleta ili wanajamvi wapate references za kutosha ?.

Mkuu vipi mbona povu linakutoka kwani habari za ujambazi wa mbunge zimeanza kusikika leo katibu wake kakamatwa imekuwa nongwa hutaki tujadili ?.Kuna mwanajamvi mmoja kasema aliyekamatwa alishakuwa katibu wa Mbunge lakini sasa yupo mwingine kamtaja na jina tatizo ni nini ?.Hivi akikamatwa katibu wa John Mnyika au Halima Mdee unadhani itakuwa habari kubwa ?.Kwanini Katibu wa Lema akihushishwa na ujambazi unaweweseka.Kwani Lema kamtuma ?,Lema anawajibika na matendo maovu ya mfanyakazi wake ?.

Mkuu Ngongo,

hatuhitaji kujadili ubora wa habari, sifa na elimu ya mwandishi wa habari hizi.
ninachoelezea ni kwamba mwandishi wa habari ameupotosha ukweli kuhusu habari yake.
Nimeelezea kwamba aliyekamatwa siyo katibu wa mbunge
Aliyekamatwa anaitwa Mgonja, wakati katibu wa Mbunge Lema anaitwa GABRIEL MBUKI
wasomaji wa magazeti na watazamaji wanatakiwa kupewa habari za ukweli, siyo udaku. hii habari imekaa kishabiki sana, inaonyesha dhahiri mazingira ya chuki.

Ikiwa ni kweli>mwenye akili timamu atashangaa endapo mtuhumiwa atawajibishwa na mwajiri wake na siyo tuhuma.

Mkuu naona habari zinakuja zinasema Mgonja si Katibu wa Mbunge ila aliwahi kuwa katibu wake. Kwa mantiki hiyo kuna uhusiano kati ya Lema na Mgonja. Na kwa sababu suala lenyewe linahusu ujambazi na Zombe alishasema Lema ni jambazi basi mwandishi anataka tu kuonyesha kwamba hata kama hakuna ushahidi kuwa Lema ni jambazi lakini basi ana ama alikuwa na uhusiano na watu ambao wanatuhumiwa kuwa majambazi. Hapo ni katika kuunganisha mambo na ili story yako ipate audiance ya kutosha.

Tunasubiri wafanye wanachotaka kufanya ndipo watajua Lema walimchagua wao au wananchi. Nawashauri magamba wasizunguke sana bali wam hit direct mbunge wetu kwani huko ndiko wanakoelekea baada ya mbinu nyingine kushindikana.

Ilikuwa hivi mara tatu asubuhi TBC

Katibu wa mbunge wa Chadema, Godbles Lema akamatwa kwa ujambazi. yaani Godbless Lema lilisemwa mara tatu na ya nne ndipo akatajwa mtuhumiwa halisi Mgonja. Shame on TBC.

Hizi ni njama za magamba lakini nawaambia wamechelewa wanakanyaga Lema aliponyanyua mguu

Mkuu wabunge wote wanatakiwa kuwa na makatibu/wasaidizi na hao wanalipwa kupitia posho anazochuua mbunge kwa kifupi ni kwamba wanalipwa na Bunge.
Asante sana Mkuu kwa taarifa hii ambayo kwa kweli kwangu ilikuwa mpya kabisa.

Baada ya ccm kupoteza majimbo kwa miji mikubwa km Mwanza,Arusha,mbeya,Iringa na kwa sehemu Dar.Mkakati uliopo ni kuivurug
a Cdm.Hayo ya Arusha ni kidogo,mkakati mkubwa unapikwa Mwanza kama mnafuatila gazeti la mtanzania pekee limekuwa likiripoti yanayojiri Mwanza

Back
Top Bottom