Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,725
Bwana mukubwa, hapa hakuna suala la imani.
We go with the facts.
FACT: Tuhuma za Godbless Lema kuwa na uhusiano na majambazi zimekuwepo muda mrefu(hata kama hupendi, most recent by Zombe)
FACT: Mshirika wa karibu wa Godbless Lema ametiwa mbaroni kwa ujambazi.
It takes only little intelligence to connect the dots, na hapo HAKUNA IMANI, ni bongo lako tu.
Nakuelewa lakini pia kuna wasiwasi mkubwa kwa aliyetoa taarifa za ujambazi wa Lema,
si kwamba napingana na taarifa hizo kwa kuwa binafsi simfahamu Lema zaidi ya kusoma
habari zake ila tunahitaji fact kuliko kuongozwa na ushabiki. Pia imesemwa kuwa huyu
unayemuita mshirika wa Lema walishatemana kitambo kwa sababu ya tabia zake,
sasa inakuwaje kumhusisha na Lema hadi sasa wakati hawapo pamoja? Fanya utafiti
kwanza ndo urushe mawe...