WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.
Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .
Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?
Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
hauko serious, wamemfanyia nani ubaya? Tatizo watu wamelifanya hili ni shamba la bibibibib iSisi watanzania tuna roho mbaya sana hatuna utu moyoni
WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.
Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .
Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?
Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
Waafrika tuungane,sisi ni ndugu,tusibaguane, tusipigane,watu wa mabara mengine wanatuita waafrika, bila kujali nchi tunazotoka.Shida ya sasa ktk Afrika ni kuongozwa na wanasiasa wenye fikra mgando tofauti na kina Nyerere, Kwame Nkurumah,Kaunda,Samora,Ghadafi n.k.waliopigania umoja wa Afrika. Kama watu wa Ulaya wanahitaji umoja sisi tunahitaji zaidi.AMANI NA UPENDO
Kwahiyo ulikuwa unataka kusema nini juu ya hao watutsi wenzio?