Hii ya Amri Kiemba imekaaje?

Amavubi Rage hakuwa chaguo la sahihi la wanasimba ..Rage alichaguliwa baada ya waliotakiwa kukosa sifa...
 
Last edited by a moderator:

nadhani baada ya waliomfuatia wengi kutangulia mbele za haki, wengi walichomoa hicho kiti, labda nitahsauri kuwe na Rais badala ya Mwenyekiti
 
cjakuelewa..bro..mie nimezungumzia uchaguzi uliomuweka madarakani..
 
ni kweli iwe, mjanja sana huyu tangu atafune mamilini ya wachezaji wa stars akiwa fat sina imani naye tena

sio pesa Za wachezaji wa Stars pesa za Yanga za ushiriki wa Ligi ya Mabingwa afrika 1998 yeye na Mwenzie Ndolanga
 
ni kweli umenikumbusha, kuna mchezaji anaitwa KP. Mkapa alichana jezi zake zote baada ya tukio lile
 
cjakuelewa..bro..mie nimezungumzia uchaguzi uliomuweka madarakani..
nilienda mbali sana lakn mizengwe pia ilitawala halafu ana kundi lake pale simba, mkutano uliopita nilikua na hoja ya kikatiba ya kuvunja mkutano na hakunipa nafasi tena................cha msingi atimize ahadi zake zote ikiwa ni npamoja na kukarabati jengo na uwanja wa bunju ambap tulichanga na pesa ikatimia palepale
 
Simba siku hizi hakuna watu wa mpira kama miaka ya nyuma. Sijui walienda wapi wale watu waliokuwa na uwezo wa kumsainisha mchezaji yeyote waliomtaka.
 
Hanspope ndio jembe Simba ndio maana hata Rage alimng'ang'ania
Ndio jembe lililoongoza kununua wachezaji wabovu,yeye kama Mwenyekiti wa usajili ndio alinunua/alishauri klabu kununua wachezaji magarasa kama Salim Kinje,Lino Musombo,Daniel Akuffor,Pascal Ochieng,Redondo,Keita,Kigi Makasi,Abdalah Juma
 
kweli inasikitisha sana club kubwa kama Simba kuachia wazoefu wote waondoke? ilikuwa cholo bado kidogo atuache sasa kiembe bado kaseja, viongozi timu imewashinda.
 
blue...kumbe we ni mwanachama halali wa simba eeh safi sana
black..mbn huwahaulizwi katika mikutano?....
ila endelea kupigania club..
 
Ndio jembe lililoongoza kununua wachezaji wabovu,yeye kama Mwenyekiti wa usajili ndio alinunua/alishauri klabu kununua wachezaji magarasa kama Salim Kinje,Lino Musombo,Daniel Akuffor,Pascal Ochieng,Redondo,Keita,Kigi Makasi,Abdalah Juma
kazi ya Kaburu hii kiongozi, siri hii tuachie wenyewe
 
Huyu ni Hans?
 
Lino Musombo na Kaburu
 
Amavubi. Belo...
Hans huwa hashughuliki sana na wachezaji..Mr kaburu ndio zaidi...
 
Last edited by a moderator:
kazi ya Kaburu hii kiongozi, siri hii tuachie wenyewe
Kaburu alikuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu Hans Pope ndio Mwenyekiti wa kamati ya usajili na wakati mwingine ndio anatoa pesa kusajili wachezaji yeye hata kuja kwa Liewig ndio alihusika kumuondoa Milovan
 
Ndege hutua ktk mti aupendao. hata kama una miiba.kiemba c alikuwa hukohuko yakamshinda anataka kujaribu tena.kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…