Kama anapata maslahi mazuri kuliko yale angeyapata Simba acha aende, viongozi wetu wa Simba wamezidi ubabaishaji, haiwezekani kila siku faulo wafanyiwe wao tu, kwa nini wao wasifanye hata kidogo.....inasemekana Amri Kiemba amesaini Yanga, tayari kwa kutumikia timu hiyo msimu ujao. inakuaje Simba wanaachia wachezaji muhimu wote kuondoka ndani ya kikosi!!!!, Amri Kiemba ni mchezaji mwenye nidhamu ya hali ya juu sana na anaheshimu kazi yake kwa kiasi chochote ambacho alikua anaitaji angepatiwa tu,
kama ni kweli; Binafsi naona haijakaa sawa, kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya benchi la ufundi la Simba. Sijui wadau ili linawagusaje aisee.
Kaseja nasikia anaelekea Azam. Anyway yote Heri!, inawezekana labda Simba tumeamua kufuata nyayo za Wenger za kufufua vipaji: ila sijui kama hii inakaa vizuri kwa soka letu la kibongo.Jamaa alikua anataka 22m,wao Simba wakamwambia tunakupa 14m!!but ngoja nifatilie chamani ntakuja kuwajuza.
Pia kaseja kaambiwa kwamba kutokana na umri wake sasa watampa m10 ili asajiri lakini yeye anataka 25m,yuko njiani kwenda cost union!
namimi ainingii akilini kwakweli; ni udhaifu mkubwa unaoonyeshwa na viongozi wa Club.Kama anapata maslahi mazuri kuliko yale angeyapata Simba acha aende, viongozi wetu wa Simba wamezidi ubabaishaji, haiwezekani kila siku faulo wafanyiwe wao tu, kwa nini wao wasifanye hata kidogo.
....inasemekana Amri Kiemba amesaini Yanga, tayari kwa kutumikia timu hiyo msimu ujao. inakuaje Simba wanaachia wachezaji muhimu wote kuondoka ndani ya kikosi!!!!, Amri Kiemba ni mchezaji mwenye nidhamu ya hali ya juu sana na anaheshimu kazi yake kwa kiasi chochote ambacho alikua anaitaji angepatiwa tu,
kama ni kweli; Binafsi naona haijakaa sawa, kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya benchi la ufundi la Simba. Sijui wadau ili linawagusaje aisee.
AMRI KIEMBA Simba ni kama jiwe kuu la pembeni lakini ambalo halionekani, ana maslahi madogo sana kinyume cha mchango wake, hata akipandishiwa bado hautaswihi, Simba hawathamni mchezji wakiwa naye hadi anaondoka, kumbuka ya Yondani...............ama badu nikiwa simba fan and member namtakia kila la heri kama ni kweli maana magazeti nayo hupandisha madau ya wachezaji lakini namkumbusha ni hao Yanga walimtema akaonekana tambara bovu leo hii amerudia matapishi yake? haya AK kwaheri bhana utakumbukwa daima hapa Simba na jinsi ulivyocheza chini ya Kiwango katika mchezo wa mwisho na mtani....inasemekana Amri Kiemba amesaini Yanga, tayari kwa kutumikia timu hiyo msimu ujao. inakuaje Simba wanaachia wachezaji muhimu wote kuondoka ndani ya kikosi!!!!, Amri Kiemba ni mchezaji mwenye nidhamu ya hali ya juu sana na anaheshimu kazi yake kwa kiasi chochote ambacho alikua anaitaji angepatiwa tu,
kama ni kweli; Binafsi naona haijakaa sawa, kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya benchi la ufundi la Simba. Sijui wadau ili linawagusaje aisee.
kila la heri..ganda la mua la jana chungu kaona kivunoConfirmed!!!!!
Baada ya kuona Hamisi Kiiza anazikataa million35 wakaamua kumalizana na Kiemba siku ya tar 23may kabla ya kwenda Morocco.
Kwa kifupi ni kweli Kiemba kasaini Yanga na pengine siku mbili hizi akatambulishwa kwa wanajangwani!!!!!
mambo yamekuwa kinyume simba ndio walikua wanaonekana watu wa mpira sasa hivi wanapigwa bao tu, ilianza kwa Mbuyu, Ngasssa, Shabani Kondo na ss Kiemba, huenda hatimaye na Oloya wakapigwa bao maana nimeona magazetini leoKama anapata maslahi mazuri kuliko yale angeyapata Simba acha aende, viongozi wetu wa Simba wamezidi ubabaishaji, haiwezekani kila siku faulo wafanyiwe wao tu, kwa nini wao wasifanye hata kidogo.
miaka yote hii sentenso haibadiliki?Mwacheni aje jangwani klabu bora afrika mashariki.
DUH, Simba mpya sasa lakn Kaseja muhimuJamaa alikua anataka 22m,wao Simba wakamwambia tunakupa 14m!!but ngoja nifatilie chamani ntakuja kuwajuza.
Pia kaseja kaambiwa kwamba kutokana na umri wake sasa watampa m10 ili asajiri lakini yeye anataka 25m,yuko njiani kwenda cost union!
naona Malkia yupo kimysa sanaSimba kwa sasa Hakuna pesa ndio maanaa wanapata shida kwenye usajili
unajua maneno hata kwenye khanga yapo, inawezekana Yanga ni tisha toto tu, lakn ukweli bao lake na kiwango cha juzi vimempa chati sanaNadhani Kiemba atasaini Simba...
Mtani inauma eeeh!!! pole ndio soka letu hili hatuna pa kukimbiliamiaka yote hii sentenso haibadiliki?
Malkia wa Nyuki alitaka kumchomoa Rage sasa baada ya kuona biashara zake hazitoenda poa akaamua ajiondokee zakenaona Malkia yupo kimysa sana