Hii vita itaisha lini?

Hii vita itaisha lini?

pengine swali nimeliwasilisha vibaya. samahan kwa hlo . umesema wanaume wa mkoani tunatamani tuwe Kama wanaume wa dar na Mimi nakuuliza swali je we ungetamani uwe na tabia Kama za kidada ? ni swali tu dogo .ni hayo tu mkuu
Nadhani kama ungekua hauwahusudu wanaume wa Dar usingekuja hata kwenye huu uzi, ni mtazamo wako kuhisi au kuona watu wana hulka za kidada lakini hivyo vitu ndo vinafanya mpate cha kuongea maana kama hamumzungumzii wanaume wa Dar mtazungumza nini ? Cha ajabu dada zenu hao hao wa mikoani pamoja na mambo ya kidada dada lakini ndo huwaambii kitu hawasikiii wala hawaoni kwa wanaume wa Daslama....
 
Back
Top Bottom