Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
Kuna ule uzi wako unesema unakaa Sinza karibu na gest ukala kibudu au sio ww[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu mimi sio wa Dar, nitake radhi
Kuna ule uzi wako unesema unakaa Sinza karibu na gest ukala kibudu au sio ww[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu mimi sio wa Dar, nitake radhi
Kuna ule uzi wako unesema unakaa Sinza karibu na gest ukala kibudu au sio ww[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba kuwasilisha.....[emoji120] View attachment 899767
Ila ule uzi ni chai kabisa ile mkuu[emoji23] [emoji23]Kukaa Dar haimaanishi wewe ni mwanaume wa Dar na kukaa mikoani haimaanishi ni wa Mkoani. Kinachosemwa hapa ni life style. Nadhani umenielewa
Hahahahahahha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Naomba kuwasilisha.....[emoji120] View attachment 899767
Duh!, Huyo nae mbona kama anapita mitaa ya Sinza kwa Remmy? na amevaa Kichupi kinaonekana!kumekuchaaaaa! Kimewaka sasa. Wanaume wa wapi HAO?
Ukikuta mtu anachukizwa na utani fulani ujue hilo tatizo analo kweli. Lakini kama halikuhusu sizani kama litakuumiza.Mwanaume wa dar unaiomba selikari ikusaidie kwenye utani..
Aisseh wanaume wa dar mnazingua
Inajulikana mkuu, hapa issue ni kupigia jibu mstari tu....tehteehhkumekuchaaaaa! Kimewaka sasa. Wanaume wa wapi HAO?
Ukikuta mtu anachukizwa na utani fulani ujue hilo tatizo analo kweli. Lakini kama halikuhusu sizani kama litakuumiza.
Naunga mkono hoja, na picha nimeambatanisha...[emoji12] [emoji12]Panya road ndio walileta hii mambo.
upo sahihi mwanaume wa darNaomba kuwasilisha.....[emoji120] View attachment 899767