Hii video imenitia hasira Sana

Hii video imenitia hasira Sana

Jitu linaiba hata halijui linamuibia nani

Afrika ni bara la watu wasiopaswa kuguswa ningekuwa myahudi ningewaita 'Am_haaretz'
 
Yupo sahihi sana,sometimes western countries wanawachukia hawa waarabu kwasababu ya misimamo ya kulinda maslahi zao,Siyo huku Africa ni laini kama mlenda
 
Yaani licha ya kuwa na watawala wasiofuata democracy tena wanarithishana madaraka lakini wenzetu wanatisha kiuchumi.Watawala wao wanalinda maslahi ya nchi zao, huku kwetu jitu linang'ang'ania madaraka linufaishe tumbo lake na vizazi vyake.

Africa sijui tunakwama wapi??
 
Viongozi wetu huwezi kuwatenganisha na pepo la ubinafsi.

Wakiingia tu madarakani wanajipanga namna ya kuendelea kuongoza badala ya kuangalia namna ya kuwaletea maendeleo wananchi.

Kupatwa kwa rasilimali za Afrika
 
Eti ndio wanasema Africa inaonewa wivu isije kupiga hatua, kwa maviongozi maroho ya madaraka na mabinafsi? Thubutu tutaendelea kuwa watumwa mpaka kiama
 
Nikiifikiria congo walivyo na utajiri mkubwa
Misitu
Madini
Ardhi ya yenye rutuba
Lakin bado ni maskini wa kutipwa
 
Nikiifikiria congo walivyo na utajiri mkubwa
Misitu
Madini
Ardhi ya yenye rutuba
Lakin bado ni maskini wa kutipwa
Leo wameuana tena DRC Beni yaani mbaya sana kule madini unachimba mtoni unapata ardi haijawaji kulimwa
 
Yupo sahihi sana,sometimes western countries wanawachukia hawa waarabu kwasababu ya misimamo ya kulinda maslahi zao,Siyo huku Africa ni laini kama mlenda

Sio kila warabu wanalkili hizo, Tofautisha DUBAI na waharabu wnegine wajinga wajinga, Labda Irani tu lakini walio bakia wote ni puppet wa West.
 
Back
Top Bottom