The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,889
- 120,774
Ndio hiyo hiyo unalose self control,ndio maana baada ya tukio watu hujilaumu,losing self control leads to several risks,vitu ambavyo mara nyingi vinaweza kukufikisha kwenye hiyo hali ni pamoja na Chronic stress,Anxiety,na kuna ile hali mtu anajihisi powerless over his own life,once emotion spike drops,ndio unakutana na matokeo ya long time regreat and shame.Sio kwamba viko out of self control to say.
Ila ni kwamba mtu anakuwa bado haja weza kujua kuwa subconscious mind ina run the show, so ataona yuko right during the action, imagine umekasirika...Lazima uta loose tuoch na uhalisia uliopo just to feed the hate.
Awareness huja baada ya kutimiza kile subconscious imekusudia, the same applies ukiwa unakimbizwa na simba utashangaa umeruka ukuta mkubwa bila kupenda