Hii tuiiteje?

Hii tuiiteje?

Mtu anasikia mwenzake kauliwa kwabki cheat ila bado na yeye anacheat na anakuja kuuliwa siku chache...

Ndio ujue kila binadamu ana namna yake ya kufikiri na kuwaza na tukio moja halifanyi binadamu kuacha kupiga matukio.

Imagine tokea uzaliwe unahubiriwa dhambi na hizo dhambi ushazitenda zote.

Mfano mtoa mada Sister Abigail katika amri KUMI za Mungu ipi bado hujaivunja kisawasawa?
 
Kuna nchi ukikamatwa na dawa za kulevya,hukumu yake ni Kifo tu,
wapo waliokamatwa na wakahukumiwa kifo,ila bado wapo watu wanaendelea ku take risk kupeleka dawa za kulevya kwenye hizo nchi,
Maisha ni kutake risk,

Watu walitake risk maisha yao,ndio maana leo hii tunaishi kwenye haya maisha ya leo,hizi ndege zilipata sana ajali ila watu hawakuacha kufanya research na kutake tena risk ya kuruka angani na Ndege,

If you don't take risk,you will always work for someone who does.

Naongelea kufanya maamuzi ambayo hujajiandaa Kwa matokeo yake huku unayajua,mfano mkuu ni Dickson pale juu..kuna wanaojiandaa kama kweka na wasiojiandaa.
Shida ni wasiojiandaa huku wanajua matokeo na hawayataki.
Uliamua Nini kufanya ikiwa hukujiandaa Kwa matokeo?

Kijana unajua kabisa matokeo ya kufanya mapenzi bila Kinga ni mimba,unafanya pekupeku,kelele zinaanza ooh sizioni siku zangu unakula Kona..mnaanza kukimbizana huku na kule mimba huitaki matunzo huna.kabla hujamwaga kavu hukujua matokeo ni Nini?
Ulijua
Now matokeo unayakimbia kama sio uchizi ni Nini..
Kabla hukujua hauko tayari kuitwa baba?
Na haikuwa ndani ya uwezo wako kuepuka.
Ndio matokeo ya kuendeshwa na hisisa zaidi ya kufikiri?
 
Mtu anasikia mwenzake kauliwa kwabki cheat ila bado na yeye anacheat na anakuja kuuliwa siku chache...

Ndio ujue kila binadamu ana namna yake ya kufikiri na kuwaza na tukio moja halifanyi binadamu kuacha kupiga matukio.

Imagine tokea uzaliwahubiriwa dhambi na hizo dhambi ushazitenda zote.

Mfano mtoa mada Sister Abigail katika amri KUMI za Mungu ipi bado hujaivunja kisawasawa?
Nyingi tu sijavunja
 
Kama ni kweli una 45 basi hiyo 81 unayozaliwa nilikuwa tayari nina mitano Muthill ya mitano tena ya samia.Nina 50 sema tu nikiingia humu JF nakuwa mpuuzi naungana na baadhi ya wapuuzi wenzangu na kuwa mpuuzi mwandamizi ila katika huo upuuzi nimezidiwa na watu kama kina Tlaatlaah
Haya mkuu
Kweli jf ni kichaka
 
Naongelea kufanya maamuzi ambayo hujajiandaa Kwa matokeo yake huku unayajua,mfano mkuu ni Dickson pale juu..kuna wanaojiandaa kama kweka na wasiojiandaa.
Shida ni wasiojiandaa huku wanajua matokeo na hawayataki.
Uliamua Nini kufanya ikiwa hukujiandaa Kwa matokeo?

Kijana unajua kabisa matokeo ya kufanya mapenzi bila Kinga ni mimba,unafanya pekupeku,kelele zinaanza ooh sizioni siku zangu unakula Kona..mnaanza kukimbizana huku na kule mimba huitaki matunzo huna.kabla hujamwaga kavu hukujua matokeo ni Nini?
Ulijua
Now matokeo unayakimbia kama sio uchizi ni Nini..
Kabla hukujua hauko tayari kuitwa baba?
Na haikuwa ndani ya uwezo wako kuepuka.
Ndio matokeo ya kuendeshwa na hisisa zaidi ya kufikiri?
Watu wakiishi kama unavyoshauri wewe basi hii Dunia itakua ni peponi,kitu ambacho hakiwezekani kabisa,
Binadamu tutatofautiana,huwezi kuacha kununua Gari au kupanda Gari kisa kuna Gari imepata ajali na imeua watu wote,

Nimeelezea zaidi kwenye comment yangu #14
 
Binadamu tutatofautiana,huwezi kuacha kununua Gari au kupanda Gari kisa kuna Gari imepata ajali na imeua watu wote

Ndio unaweza unaweza nunua gari lakini kwepa upuuzi aliofanya mwenzio kuepusha madhara aliyosababisha.mambo mengine yanaepukika yakiwa within your control.
Ni Yale ambayo yapo about of your control yanaweza yawe magumu kuepuka.

Mi naona hatuelewani😒
 
Afya ya akili ni hali ya ustawi wa kihisia, kisaikolojia, na kijamii inayowawezesha watu kukabiliana na changamoto za maisha, kutambua uwezo wao katika kuyamudu mazingira mbalimbali, kujifunza na kufanya kazi vyema kwa kadri ya jamii husika, na kuchangia au kuwa na mchango chanya kwenye jamii yao.

Kinyume na hapo unakuwa una changamoto ya afya ya akili.
Kwahiyo uwezekano mkubwa ni afya ya akili?
Uwezo wao wa kujidhibiti na kuchanganua mambo unakuwa mashakani kiutendaji wakati wa situation ngumu kama hizo?
 
Kwahiyo uwezekano mkubwa ni afya ya akili?
Uwezo wao wa kujidhibiti na kuchanganua mambo unakuwa mashakani kiutendaji wakati wa situation ngumu kama hizo?

Ndiyo, fikiria
1: Mtu anamuua mwenzie sababu ya shilingi 500/=
2: Mtoto anjiua sababu amefeli kidato cha nne au hajanunuliwa nguo mpya ya sikukuuu.
3: Mtu anajiua sababu ya deni la shilingi 100,000/=
3: Nk, nk.
 
Hakuna jipya chini ya jua. Hayo yote ni marudio tu. Binadamu anaongozwa na nature. It is human nuture kurudia makosa na kupata madhara au matokeo yale yale. You can note escape the matrix.
 
Kinachowakimbiza Nini ikiwa walijua na wakajiandaa Kwa matokeo?
We unaona mwenzio kaiba kashikwa kachomwa moto,kwanini Lile tukio lisikupe tafakari ya unachofanya ikiwa hutaki kuishia kule?
Ukiamua kuiba inamaanisha uko tayari Kwa matokeo.
Swala ni kufa au kupona, nikipata nitakula nikikosa najua matokeo ila sio kwamba sitajiokoa uhai
 
Ubongo wa Binadamu hupendelea zaidi kufuata tabia au njia zilizo zoeleka zaidi au zilizo kua ni rahisi zaidi hata kama zina madhara,badala ya kutumia nguvu nyingi na muda mwingi zaidi kufikiri au kutengeneza njia mpya ambazo ni salama,pia,
Mleta mada aishi humu

The brain knows what's comfortable not what's best
 
Mleta mada,
Binadamu sio mashine eti umfeed information alafu aje aziteme kmaa ilivyo,
Binadamu anapenda kujaribu vitu bila kuangalia pattern, anapenda kufeed kile anacho kijua hata kama ni kibaya. So at the very worst, ukubali kuwa binadamu hawezi kuwa sawa hata siku moja. Atakusikia ila bado atataka kujaribu kwa sababu mwili hapendi ukweli unapenda comfort. Ndo maana muuwaji ukimuuliza ni kwanini anakuwa, atasema sababu binafsi sio sababu za wengi.
 
Hii tabia ni issue ya kisaikolojia zaidi ila mleta mada ni kama vile hakutaka kukubaliana na ukweli halisi,
Kuna vitu sometimes vinakua out of your self control.
Sio kwamba viko out of self control to say.

Ila ni kwamba mtu anakuwa bado haja weza kujua kuwa subconscious mind ina run the show, so ataona yuko right during the action, imagine umekasirika... Lazima uta loose touch na uhalisia uliopo just to feed the hate.

Awareness huja baada ya kutimiza kile subconscious imekusudia, the same applies ukiwa unakimbizwa na simba utashangaa umeruka ukuta mkubwa bila kupenda
 
Mwanaume kuyajenga maisha Hadi yakaishika,kutengeneza home halafu ikishatengemaa mwanamke analeta usenge ujinga upumbavu udhalilishaji wa juhudi zako na ulipomtoa kunahitaji hekima sana ku move kutoka kwenye hiyo hali!!

Mimi sishangazei kwa wanaowaua wanawake zao coz wanapiga hesabu na kuona kile walichokipigania hawana muda tena wa kukipigania tena ni Bora wakafie gerezani au wanyongwe wafe,maumivu yake sio ya kitoto,na ukijitoa ufaham ukaaamua kuvumilia lazima ubongo uyumbe au uwe katili sana!!!

Unapokua kwenye kupoteza , deceleration phase huna cha kupoteza hata kifo ni halali yako!!!
 
Back
Top Bottom