Hata mimi naona inaniletea shida sasa...nauza dstv imelipiwa mpaka june kile kifurushi cha 85,000 kina supersport 3,7&9. Anaetaka anipm.sitaki kuendelea kuangalia huu ujinga.
Mkuu mbona kwenye avatar yako nakuona ni arsenal mwenzangu?
Kuna uwezekano mwakani wasicheze premier league....hahaa
Afadhali hata wewe unaenda kuangalia, me siku hizi hata siangalii, matokeo yenyewe nauliza kimachale mno.,
Nimecheka aisee
Mkuu nashindwa kuelewa hizi timu nyingine huwa wanaishije kama hali huwa inakuwa hivi??
Naunga mkono hoja. Ongeza na miaka takribani 10 ya kujenga timu ya Arsene Wenger, watujibu wamekufa wangapi.Wangekufa wa LIVERPOOL kitambo........5 European Cups, 18 BPL Championship.....miaka 24 bado wanaweweseka sembuse mmoja wa MANYOO?
![]()