Babamzazi
Senior Member
- Oct 27, 2013
- 176
- 39
Mkuu mbona huzitaji?Mkuu nashindwa kuelewa hizi timu nyingine huwa wanaishije kama hali huwa inakuwa hivi??
Mkuu mbona huzitaji?Mkuu nashindwa kuelewa hizi timu nyingine huwa wanaishije kama hali huwa inakuwa hivi??
Mkuu mbona huzitaji?
Wadau wa Man U msihofu, kama Sir Ferguson alijenga timu kwa miaka 6 na akaacha utukufu kwa miaka 25, Moyes hata mwaka haujatimia.
Tuwashauri hawa wenzetu wanaowania Ubingwa safari hii, wajitahidi angalau wapokezane kikombe kwa miaka hii miwili ambayo Moyes anajenga timu kubwa duniani, maana tukianza vitu vyetu itabidi wasubiri tena Miaka 25 ijayo. LIVERPOOL wanalielewa hilo ndiyo maana mwaka huu wamekomaa.
100% correct. With exception to all other Football clubs allover the world, at Old Trafford Coaches are hired not to be fired but to bring Glory for Life.Mkuu mbona zinajulikana, na kwa sasa ndo wanaongea kuliko kuongea kwenyewe
Mkuu ni nyakati mbili tofauti kabisa. Though nina imani kubwa na Moyes, this guy will do something great for the club, mark my words.
Hahaha usijali nakutaftia yenye jina lako mgongoni farkhina