Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
imekuwa kawaida kwa askari kufanya mauaji na unyanyasaji wa kwa raia kisha kutetewa na wakuu wa polisi pamoja na waziri wa mambo ya ndani hali ambayo ni tofauti na yale wafanyiwayo watumishi wengine
hali hii haiboreshi jeshi bali inalitia doa jeshi na na kulifanya lizidi kuchukiwa na kuto aminika
lakini pia hali hii inawafanya askari kujiona wako juu ya sheria kitu nacho kinazid kuumiza wananchi wanao nyanyaswa na askari hao
nimesikitishwa sana na awala la mama huko mang'ula aliye zalia kituoni ambaye aliwekwa ndani kwa kosa la mumewe eti kisa mumewe katoroka waka muweka mkewe ndani
lakin nineumizwa sana kamanda wa polisi alivyo potosha ukweli kuwa eti mwanamke ndiye aliye kamatwa na vidhibiti kitu ambacho si kweli hata kidogo
polisi wa tanzania si wakuwaamini kabisa ni waongo na wabambikiaji kesi za uongo kwa raia wamemuonea mama wa watu na kumdhalilish , polisi hawana utu kabisa halafu wanalindana kuanIa waziri hadi makamanda wao
jeshi limekosa weledi kabisa tanzania na serikali hii ndio chanzo cha kutufikisha hapa
jeshi lipo juu ya sheria linawafanya raia watakavyo kwani wanaamini eata lindwa tu , viongozi wa juu wa jeshi ni waongo waongo wanalondana kwenye unyama
lakin tuhuma zikimkuta mtumishi mwingine hatua huchukuliwa kabla hata ya uchunguzi hali hii inanifanya niwaze kwamba askari akiingia kwenye anga zangu tunamaliza huku huku mtaani maana nikimrpoti hatochukuliwa hatua zaid ya kuhamishwa kituo