johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,036
Ubunge ni uwakilishi usisahau hilo!wanamwachia uwanja afanye "siasa"! JPM ni mtu aliyejaa uoga na hofu zisizo na kichwa wala miguu, anakosa amani wengine wanapofanya siasa! busara ni kumwachia nafasi afurahi.
Nani kakuambia?......mbona Lowassa tulikuwa naye pale chuo kikuu The Hill!Siasa Hadi 2020
HaaNani kakuambia?......mbona Lowassa tulikuwa naye pale chuo kikuu The Hill!
Mbunge anaalikwa jimboni kwake?!!Hivi hata kama hawajaalikwa wao waende tu kisa Rais kaja??
Tutawachagua tenaWabunge wa kaskazini kutokea upinzani hovyo sana!
Sema wewe utawachagua tena.wananchi wengine wataenda kufanya mabadiliko usiyoyategemea..nikumbushe mwaka 2020. Uzi huu..tuongee tenaTutawachagua tena
Kwa makaratasi kama 2015 au......?!!!Tutawachagua tena
Rais aje kwako halafu mwenyeji uhitaji mwaliko? Hii tamaduni ya wapi?Hivi hata kama hawajaalikwa wao waende tu kisa Rais kaja??
Kwani pale ulikuwa uwanja wa Siasa?Nani kakuambia?......mbona Lowassa tulikuwa naye pale chuo kikuu The Hill!
Ubunge ni uwakilishi usisahau hilo!