Dogo wewe kumbe hujatembea,,, ingekua Kenya wangekuomba LIVE ukileta za kuleta wanakubambikia mwende kituoni, huko ile subiri kidogo gari ingekaa siku tatu. Hawa wangekuzushia urongo sasa hivi ungesema.. SI WANGEOMBA TU.
Kwingine ni South Africa. Raia wa kigeni yeyote huwa wanamuita Mobile ATM!