Hii tabia wanaume wengi wanayo

Ila unamtafutia viungo ili umpike vizuri na pia umbanika au humtunza kwenye friji ili asioze,kwani ukishamvua huwa unatupa?
Ukishamvua unapika vizuri kama ulivyoelekeza, ukishamla unasikilizia utam, ukimaliza hapo umeshiba, kisha unamsahau hata anafananaje.
 
Akibaki unatupa
 
utaendelea kutumika mpaka akili itapokukaa sawa mpaka ujitambue nani wakujenga kambi karne hii
 
Samaki anaepewa chambo ni yule alie baharini. Sasa ushamvua samaki, bado utaendelea kumlisha chambo?

Natania hahaaa.
Mimi kila siku nazidisha macare!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Ukiona hivyo ujue hakuupata utamu alioutegemea
 
Hapo kitaalamu tunaita kimbiza kamata achia (KKA), kazi ibaki kwenu na nyie mfanye KKA, ukiona amepunguza manjonjo, ujue ni zamu yako ku KKA.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ and the cycle continues.
 
Samaki anaepewa chambo ni yule alie baharini. Sasa ushamvua samaki, bado utaendelea kumlisha chambo?

Natania hahaaa.
Mimi kila siku nazidisha macare!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Keep it up
 
Hapo kitaalamu tunaita kimbiza kamata achia (KKA), kazi ibaki kwenu na nyie mfanye KKA, ukiona amepunguza manjonjo, ujue ni zamu yako ku KKA.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ and the cycle continues.
Khaaa! Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…