Kwanza hizo zawadi mnazopokea kila siku nanyi muwe unatuonea huruma hivi hamchoki tu kupokea zawadi zawadi, na baada ya mchezo tunapunguza kwakuwa hata kwenye kula kasi ya tonge la kwanza ni tofauti na tonge la pili na kuendelea....tuvumiliane tuMwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana
Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki
Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha
Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?
Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?
Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda
Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo
Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti
Na wewe toweka pia..atastuka uyu mtu mbna hashoboki?.Si ndo hivyo,unamfeel unampa akisha pata anatoweka
Kwakweli hata mimi nna tabia hii, natamani kuiacha ila ndo nashindwa, nikishakula tunda hisia zinapungua kwa kasi namuona wa kawaidaMwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana
Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki
Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha
Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?
Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?
Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda
Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo
Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti
hahahahhahahahahWater water water, plus no viuno, kiuno kikavu kama mti wa muwanga
Point kabisaWakati wa kampeni ni tofauti na wakati wa kitawala. Awamu ikishaingia madalakani ni mwendo wa kutawala.
Hapo ndipo uelewe thamani ya mwanamke huwa ni wakati gani na hata uwe na uzuri kiasi gani muhimu jitunze ili uolewe hata ukichokwa upo ndani sasa ww achia hilo K na kila unaekutana nae mwishowe bwawa ufugie fangasi.Mwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana
Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki
Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha
Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?
Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?
Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda
Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo
Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti
Tatizo some of u girls are playing " hard to get " Mwezi mzima ni mwingi sana.Mi kuna demu miaka ya nyuma nilimfuafiliaga mwaka mzima..by the time ananipa mchezo nikawa tayari nimeshamtoa akilini na sikuona cha tofauti alichokuwa nacho ambacho wanawake wengine hawana...so nikampiga chiniMwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana