inategemea imeingia na gia gani kwa uyo manzi.km ulijifanya una chapaa lazma wakukamue.chezea mabint w mjini wewe?utaumia bure acha ubishoo
Hahahhh hivi wewe ni Proffesor ma-ukwelii ama?
Hiyo inaitwa NIITE TUJE
ukiona dem anakufanyia hivo chapa lapa hupendwi hapo wakikaa wanakonyezana tu
wanakuchamba kwenye vimeseji "shost jamaa yako yupo yupo tu kama paka wa balozi kantangaze"

Haki a mama tena....Nikweli au?
Tena bora ujitutumue tu kuongea ukiwa kimya ndo wanakuona domo zegeProffesor anasema ...ndo first time jana nili ona kitu kaa hicho.. hata zile story nilizo taka kupiga nika shindwa ..!!
Huyu ni La profeseri hahahaaa!! Hiyo ni dalili ya kwanza kuwa huyo mwanamke unayemfukuzia ni guberi halikufai hata kidogo!!! Angekuwa mstaarabu angukupa alert mapema kuwa atakuwa na kampani
Haki a mama tena....
nishafanya niite tuje nyingi tu za kukomesha
mtu ninaempenda siwezi kumfanyia hivo!!!
Proffesor anasema. .... Unamwalika msichana ( ndo na mfukuzia ) anakuja na wenzake wa tatu jumla wanakuwa wa nne sio kabisa wadau. . Jana nimemwalika msichana mmoja ambaye na mfukuzia for dinner. . Duhhhhh si wakaja wa 4 dahhh kidogo niabike isingekuwa hiz M-pesa nngeaibika hiyo jana.. hii tabia kwa wasichana sio kabisa aiseeee. . Ikumbukwe mtu unakuwa na bajet ya 1siku hiyo ..
He he he kuna jamaa mmoja nishawahi kumwendea na mashost zangu 6 na mie wa 7Mamamaaaeeeh!! Watoto wa Kigogo ndiyo wamekubuhu kwa tabia hii, halafu wanabugia pombe hao hatari kabisa!! Ningekuwa mimi ningekumbukia enzi za usela wangu!! Unalipa bili ya uliyemwalika tuu, hao wengine waseme na bajeti yao
Hiyo inaitwa NIITE TUJE
ukiona dem anakufanyia hivo chapa lapa hupendwi hapo wakikaa wanakonyezana tu
wanakuchamba kwenye vimeseji "shost jamaa yako yupo yupo tu kama paka wa balozi kantangaze"
Hua naona sana mtaani...