Mbona maprofesa wapo kibao tu kwa mfano profesa maji marefu. Hata madoctor wapo kibao mfano dr. manyaunyau, dr. dhaifu...
kama yupo humu nadhani atakuwa amekuelewa!Proffesor anasema. .... Unamwalika msichana ( ndo na mfukuzia ) anakuja na wenzake wa tatu jumla wanakuwa wa nne sio kabisa wadau. . Jana nimemwalika msichana mmoja ambaye na mfukuzia for dinner. . Duhhhhh si wakaja wa 4 dahhh kidogo niabike isingekuwa hiz M-pesa nngeaibika hiyo jana.. hii tabia kwa wasichana sio kabisa aiseeee. . Ikumbukwe mtu unakuwa na bajet ya 1siku hiyo ..
Sa nyingine ni kukomesha tu kuna watu wana deserve kufanyiwa hivoHuko ni kukosa ustaarabu..! Mdada yeyeote aliyestaarabika hawezi kufanya hivyo viroja..!
hahahahahaha ninaHiyo inaitwa NIITE TUJE
ukiona dem anakufanyia hivo chapa lapa hupendwi hapo wakikaa wanakonyezana tu
wanakuchamba kwenye vimeseji "shost jamaa yako yupo yupo tu kama paka wa balozi kantangaze"