Hivi kweli kuna wanaofanya hayo bila sababu ya msingi???? Mbona hainingii akili me najua hao wanaofanya hivo ni.kitu kimegundulika huku kwetu kuna msichana alitaka kuolewa akafanyiwa kila kitu kuanzia posa mahar had mkaja wa mama na siku ikatolewa sasa harusi ikapangwa kufanyika jumamos huwez amini.sare tulikata michango tukatoa na kila kitu ikingojwa siku ya harus tayr na.bibi harus akawekwa ndani yaani siku zimekaribia kama leo alhamis mume kaghairi hamtaki mke na kasameh kila kitu kuja kujulikana tayar bibie ana ujauzito ambao s wa huyo amuoae!!!
Amini usiamini mwanamke ndo mtu katili duniani kuliko mwanaume na ukatili wenyewe si lazima akushikie silaha, sasa huyo anajua kuwa ana mimba isiyokuwa ya mwanaume anayemuoa bado anaolewa naye lengo lake lilikuwa nini?Hivi kweli kuna wanaofanya hayo bila sababu ya msingi???? Mbona hainingii akili me najua hao wanaofanya hivo ni.kitu kimegundulika huku kwetu kuna msichana alitaka kuolewa akafanyiwa kila kitu kuanzia posa mahar had mkaja wa mama na siku ikatolewa sasa harusi ikapangwa kufanyika jumamos huwez amini.sare tulikata michango tukatoa na kila kitu ikingojwa siku ya harus tayr na.bibi harus akawekwa ndani yaani siku zimekaribia kama leo alhamis mume kaghairi hamtaki mke na kasameh kila kitu kuja kujulikana tayar bibie ana ujauzito ambao s wa huyo amuoae!!!
Amini usiamini mwanamke ndo mtu katili duniani kuliko mwanaume na ukatili wenyewe si lazima akushikie silaha, sasa huyo anajua kuwa ana mimba isiyokuwa ya mwanaume anayemuoa bado anaolewa naye lengo lake lilikuwa nini?
Dah! maisha yamekuwa magumu sana, sasa hao wakifanya hilo dili wanaoana kimya kimya au kila mtu anasepa kivyake? kama wanaoana kimya kimya nawapa big up! maana siku hizi watu wanapenda sherehe kubwa bila kuangalia hao mnaowafanyia sherehe wataishi maisha gani mara baada ya sherehe, ingekuwa vema kuwapa kianzio cha maisha, kuliko watu wakitoka huko honeymoon hakuna anayefuatilia wanaendeleaje mnakuja kujua wanaendeleaje wakileta kesi
Apatikane ndani ya ndoa nitalea nitaashumu ni wa kwangu lakin si nje ya hapokaka mtoto siri ya mama, we lea tu shukuru Mungu umepata mtoto.. Wanawake wetu wana siri nyingi moyoni.
Dah! hata hivyo baada ya kuona miharusi ina gharama kubwa hivyo wanauhakika wa kupata pesawanasepa kimyakimya baada ya kugawana mgao wa michango ya harusi waliyopewa na ndugu ,jamaa na marafiki.