Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,488
- 908
Pombe Za kienyeji Aibu Kwa Kijana .. ZingatiaGamba la kobe wewe tulia mpini ukuingie vizuri
Mods ondoeni upuuzi huu.
Hela ya ccm inaliwa bure !
.ni kweli kazi ya wakili ni kumtetea mteja wake kimaandishi na sio kuita waandishi wa habari.
anazidi kukiharibu chama wakati na yeye ni diwani
mambo ya chama apeleke kwenye chama na sio kwenye media
kila mtu chadema anataka media,wale chaso media,wenyeviti wa mikoa media,Msando media
Zitto Media agrrrrr tumechoka sisis,
wakati mwingine busara ni jambo la muhimu sana
Weka picha
Hii Inji kila kitu hovyo hovyo.