Hii TABIA Sijui ilianzia wapi, ila IMEKUAKUA Na inazidi sana SIKU HIZI..!!

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
Nauliza Swali, HII TABIA ya Mwanasheria kuwa msemaji wa mteja wake nje ya court, inatokea wapi Na kwenda wapi?

Kwamba Mwanasheria si Mtetezi Na msemaji wa mteja wake mbele ya mlinda Amani tu Bali pia msemaji wa mteja wake Kwa Marafiki zake, waandishi, wadadisi, mke/mume etc.?????????!!???

Embu mnijuze hapo.! Fani ya Sheria yaweza Kuwa zaidi ya tunavyoikariri.. Inaweza tumika kuchumbia/wa n.k .. ??!

NIELEWESHWEEE..!
 
ni kweli kazi ya wakili ni kumtetea mteja wake kimaandishi na sio kuita waandishi wa habari.
anazidi kukiharibu chama wakati na yeye ni diwani
mambo ya chama apeleke kwenye chama na sio kwenye media
kila mtu chadema anataka media,wale chaso media,wenyeviti wa mikoa media,Msando media
Zitto Media agrrrrr tumechoka sisis,
wakati mwingine busara ni jambo la muhimu sana
 
Hata Mimi nataka mwana Sheria wangu akamisemee Kwenye media Kwa Sababu Rafiki wa Mdogo wangu anayekaa Keko Kwenye Nyumba ambayo Jirani Yake mmoja anayeitwa Kwiko wa Kwikoa amemuoa Mtoto Wa Andemwise wa Mbalali karibu Na petrol steshen ya Ambokile. Sasa huyo Ambokile Ndo Mwenye Duka la mguo Za Batiki ambapo Sasa huyo muuzaji wake Ambwene Jana Kanyimwa unyumba Na Mkewe huko huko mbeya. Sasa Nataka Mwanasheria wangu aisemee hiyo Kwenye Media..

Fani ya Sheria pana banaee
 
ni kweli kazi ya wakili ni kumtetea mteja wake kimaandishi na sio kuita waandishi wa habari.
anazidi kukiharibu chama wakati na yeye ni diwani
mambo ya chama apeleke kwenye chama na sio kwenye media
kila mtu chadema anataka media,wale chaso media,wenyeviti wa mikoa media,Msando media
Zitto Media agrrrrr tumechoka sisis,
wakati mwingine busara ni jambo la muhimu sana
.
.
I mean Fani hii inazidi kupoteza mwelekeo Na Heshima yake. Mara Leo wamsemee Mtu JuZi hapa walifura media wakimtetea Mbakaji..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom