Hii style inaitwa beleave it or not

Hii style inaitwa beleave it or not

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,862
Habari za jana wadau wa soccer?

11062326_10206107109661873_6619462284540467609_n.jpg
 
hahaa hahahaha.....mdomo wote jana hakina kitu
 
Hahahahaa!!....... Mambo ya soccer hayo ukiwa na moyo mwepesi unaweza kujikuta unakata moto..

Naikumbuka sana ile match ya man u vs Barca pale wembley...
Babu Ferguson kidogo azimie
 
Safi sana.Special 1 wa failure. ..
Hahahaaa. Viol umepita huku?
 
Last edited by a moderator:
Safi sana.Special 1 wa failure. ..
Hahahaaa. Viol umepita huku?

Special one amejitahidi sana na since chelsea imetoka hakuna timu england itakayopita(in Gary neville's voice)
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa!!....... Mambo ya soccer hayo ukiwa na moyo mwepesi unaweza kujikuta unakata moto..

Naikumbuka sana ile match ya man u vs Barca pale wembley...
Babu Ferguson kidogo azimie

ugomvi huo sasa, watu wengine mnapenda sifa kweli..
 
Special one amejitahidi sana na since chelsea imetoka hakuna timu england itakayopita(in Gary neville's voice)

Acha hizo wewe, mpira hauchezwi mdomoni.Subiri uone watu watakavyopokea vichapo.
 
chelsea alipata suprise mbaya jana...by the way walicheza vzr
 
Back
Top Bottom