Hii style inaitwa beleave it or not

Hii style inaitwa beleave it or not

Yenu afadhali sisi lazima mshinde zaidi ya 3

Sisi inawezekana kabisa, hata goli 4! Ila nyie jana ni aibu aisee...watu 10? Halafu wanachomoa kama utani vile.. .
Ah, tuyaache tu usije ukalia hapa...lol
 
Hakuamini kilichotokea au alitaka wawe wanatoka wao tu yeye walaa.
Mou kubali tu kuna wakati mbinu zinanyeshewa mvua then unabamizwa kama hauoni.
 
Mkuu mimi natembea na meridianbet online.

Timu zangu 2 mpaka 3 mwisho nabandika cash za maana.
mkuu naomba unielekeze jinsi ya kujiunga hyo meridianbet online, napenda kubet ila sipendi kusimama na watoto kwenye vibanda..
 
mkuu naomba unielekeze jinsi ya kujiunga hyo meridianbet online, napenda kubet ila sipendi kusimama na watoto kwenye vibanda..

Hatua ya kwanza:

Hakikisha unatumia Vodacom M-pesa.

Hatua ya Pili:

Ingia www.meridianbet.co.tz

Hatua ya tatu:

Click Sign up, anza kujisajili kwa kujaza detail zako za ukweli kabisa ikiwemo jina halisi, mahali unakoishi, sanduku lako la barua, na maelezo mengine utakayoulizwa yawe halisi kabisa.

NB: Hapo ukijaza fake detail utakuja kusumbuliwa sana likitokea tatizo.

Hakikisha e mail utakayoitumia kujisajilia ni ile ambayo iko active muda wote.

Hatua Inayofuata

Baada ya kumaliza usajili, ingia kwenye e mail yako, watakuwa wamekutumia LINK ya ku activate account yako. ACTIVATE IT...

Kumbuka: Usisahau e mail wala password yako. ukijiunga mara 2 kwa namba moja wanafunga account zako zote na pesa unaipoteza.

Ukishajisajili, ongeza pesa kwenye account yako kupitia M pesa.

Nitafute baada ya kujiunga nikuelekeza zaidi.. Charges apply.
 
hahahahaaaa asante mkuu kesho tutagawana ntakachokula..
 
Back
Top Bottom