GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,904
- 4,667
Jamani muacheni babu wa watu apumue
Kwani kuna mtu amemziba sehemu yake ya kupumulia!
Jamani muacheni babu wa watu apumue
Huna adabu wewe, baba yako akikosea kuweka kola ya shati vizuri utamuanika hivi?
Wote mnayemtania Wassira hamkupata malezi bora!
Huyo mwenye shati jeupe ni mtoto wa kaka yake kabisa imekuwaje hapo?New style in town!