Ni kweli alifanya utotoUtoto...
Wabongo hatuna dogo,duh!
Ni kweli alifanya utoto
Ila kwa sasa yafaa.
Ipitishwe sheria wanafunzi woote wavae hivi.
ukiona au kusikia msanii katoa wimbo na watoto wakawa wanauimba mara kwa mara jua hiyo ngoma itabamba sana.
Wasira keshaula na watu weshamkubali sana october anatusua.Sio maneno yangu ni unajimu wa nyota za wahusika kug'ara.
Huna adabu wewe, baba yako akikosea kuweka kola ya shati vizuri utamuanika hivi?
Wote mnayemtania Wassira hamkupata malezi bora!