Hii stori ya kweli inasisimua kutokea shuleni Mazinde Juu

Nimewahi kufika Mazinde, real impressive. Fr Damian ni mmoja wa watakatifu wanaoishi duniani. Ni mtumishi hasa wa Mungu.

Mungu na amsamehe mapungufu yake na ampe siku moja zawadi ya mbingu!

Kudos 117 girls!
Na ikawe hivyo mkuu. Naamini kabisa bado wapo watumishi wa Mungu ambao ni watumishi kweli kama alivyowaambia Yesu wanafunzi wake pindi wafanyapo majukumu ya kiutumishi wasitake shukrani wala malipo, bali waseme "sisi ni watumishi tu siostahili chochote tumefanya yale yalio tupasa kufanya.

Pongezi kwa huyo padre na sister na hao mabinti, Mungu yupo na walilofanya halitapita hivi hivi.
 
Hongera sana boss wangu hutabaki ulivyo naamini hivyo.
 
[SUP]halafu sasa ni Tanga,, yani mapenzi mabinti wale wanayajua kama wamezaliwa nayo,, na kumbe pia wana mioyo mizuri,, [/SUP]
[SUP]simulizi nzuri,, [/SUP]
 
Aise huu uzi umenitoa machozi bila kujielewa! Kwa kweli huu ndio UPENDO HALISI WA KIMUNGU! Nawaza ni maskini wangapi wa kutupwa tunawajua lakini tunawapita hivi hivi hata kutoa msaada hakuna?
 
Sasa unachangishwa kujenga nyumba ya mwenzako wakati ww/wengine hawana sijaelewa aina hii ya upendo inaitwaje
 
j
itahidi maisha ako yaw baraka kwa watu wengine na wala si laana, hutojutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…