Hii Stendi ya Magufuli ya nini sasa?

Hii Stendi ya Magufuli ya nini sasa?

Hivi sasa kuna watu wana nguvu kuliko serikali. Wenye mabasi walimfokea RC Makalla kama mtoto alipopiga marufuku wenye mabasi kupakiza abiria kwenye stendi zao binafsi.

Mhe rais ktkt hotuba yake, wakati anazindua ujazajj maji ktk bwawa la Nyerere alisema kuna DC alikuwa anaogopa kuwakamata ng'ombe wanaoharibu mazingira ktk mkoa wa Morogoro kwasbb ni wa mkubwa fulani.

Kwahiyo hiyo maeneo ya stendi ya Magufuli yatumike kama kumbi za harusi tu huko Mbezi Mwisho.
Kwa mara ya kwanza viongozi wanawaogoa wananchi, enzi zile ilikuwa kinyume chake. Viongozi walikuwa miungu watu.
 
Juzi niliamua kumsindikiza Rafiki yangu Arusha kutoa Mahari tukaenda Kilimanjaro Bus kukata tiketi nashangaa wanasema Mabus yao hayaingii Magufuli Stendi Gari zao zote zinapita Bagamoyo kuna moja tu inapita Chalinze ila nayo haiingii Magufuli Stand wanapakizia kwenye Vituo vya Daladala huko Barabarani.

Nikaamua kwenda BM Coach nao wanasema hivyohivyo,nikaamua kwenda kampuni nyingine ya Dar Express lugha ni hiyohiyo.

Mwaka jana nilipanda Newforce nilikuwa naenda Njombe napo lugha ni hiyohiyo,hii Stendi iko kwa ajili ya nani?
Hyo stand n kwa ajili ya mapato lkn hayo mabas ambayo hayaingii yanakuwa tyr yashkT huo ushur kwahy n hiar yao kuingia ama La!?
 
unaweza kuamka asubuhi ukashangaa nyuma ya nyumba yako kinajengwa kituo cha mafuta.
Kuna jirani yetu kaamka asubuhi kakuta mabaunsa wanabomoa wameizunguka nyumba yake huku wengine wakibomoa fensi.

Sababu ? Kuna mwenye pesa kaenda manispaa kabadilsha mchoro wa kiwanja kamiliki mpk robo ya fensi ya jirani yetu.

Hivi Sasa ni "survival of the fittest".
 
Q0f.jpg
 
Juzi niliamua kumsindikiza Rafiki yangu Arusha kutoa Mahari tukaenda Kilimanjaro Bus kukata tiketi nashangaa wanasema Mabus yao hayaingii Magufuli Stendi Gari zao zote zinapita Bagamoyo kuna moja tu inapita Chalinze ila nayo haiingii Magufuli Stand wanapakizia kwenye Vituo vya Daladala huko Barabarani.

Nikaamua kwenda BM Coach nao wanasema hivyohivyo,nikaamua kwenda kampuni nyingine ya Dar Express lugha ni hiyohiyo.

Mwaka jana nilipanda Newforce nilikuwa naenda Njombe napo lugha ni hiyohiyo,hii Stendi iko kwa ajili ya nani?
Wanaogopa mikosi
 
Kwa mara ya kwanza viongozi wanawaogoa wananchi, enzi zile ilikuwa kinyume chake. Viongozi walikuwa miungu watu.
Mkuu wanaoogopwa siyo wananchi wa kawaida, ni wale wenye nguvu tu. .....nguvu, ya kiuchumi, ama nguvu ya kisiasa.
 
Kama gari lina ofisi Shekilango na linapita Bagamoyo kwa nini limited tena stendi ya Magufuli? Huoni ni upotezaji muda na kujaza foleni tu barabarani?

Abiria wenyewe wengi hiyo stendi imewakalia kushoto.
 
Kama shida yako ilikuwa kufika srendi ya Magufuli si uende kuanzia safari hapo, kwani umeambiwa hakuna usafiri wa kwenda Arusha pale stendi ya Magufuli?.

Au shida yako ni kuona Kilimanjaro Bus au BM wanaingia?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom