Wapo wahusika watatusaidia,
Unafiki mwingine mbaya sana, yani hapo V8 kaliegesha pembeni na kudandia baiskeli kanakwamba eneo hilo lina njia mbovu,
Kudhihirisha kuwa huyu ni mnafiki angalieni njia wapitiayo na baiskeli kama ni "kinjia" au barabara ya kubwa ya magari tena ni rami muraa?