Kabebwa kwa kuchomekewa kwenye bukta (kabukitishwa)
Lakini nina hofia ataambukizwa maradhi sugu au fangasi,mwasho na joto chachu!! sijapendelea.....Kabebwa kwa kuchomekewa kwenye bukta (kabukitishwa)
Atakuw ana show love tu
Hahah, kwanin ? Nieleze basi
Hasa hapo si kambeba tu mtoto ? Tena with cloth on....katoto kanaenjoy mbona
Mtoto akibebwa kwa kutumia mgongo twasema kabebwa mgongoni na hii je……?