Na jamaa hakujiandaa wala hakujua kama mama atalenga vyombo
Ulipokua mdogo ulishawahi kupigana ugomvi wa kitoto kisha unaepigana nae anakuminya hiyo?Usinikumbushe mwili unakufa ganzi
Ulipokua mdogo ulishawahi kupigana ugomvi wa kitoto kisha unaepigana nae anakuminya hiyo?
Mimi ilikuwa ukiniminya lazima nikung'ate, mwenyewe unaniachia
Pole sana.Hahahahaaa mi ilikuwa demu mambo ya kujifanya kidume sana akakama vyombo acha kabisa huo mziki...!!!! Alikamata halafu akawa anaminya mbona niliomba poo mwenyewe...niliondoka eneo la tukio kwa kutambaa...SITOKAA NISAHAU
Ila sasa cha kuchekesha mno tukaja kukutana chuoni halafu ndo ikawa kama vile
Usinikumbushe mwili unakufa ganzi
Hahahahaaa mi ilikuwa demu mambo ya kujifanya kidume sana akakama vyombo acha kabisa huo mziki...!!!! Alikamata halafu akawa anaminya mbona niliomba poo mwenyewe...niliondoka eneo la tukio kwa kutambaa...SITOKAA NISAHAU
Ila sasa cha kuchekesha mno tukaja kukutana chuoni halafu ndo ikawa kama vile