Hii sio haki

Kanali ni mjeshi na hili nadhani kwake ni suala la principle haijalishi kama pesa zingekuwa milioni moja au shilingi 10. Hataki kutapeliwa na kama maelewano yalikuwa ni hayo basi ni lazima yatekelezwe. Kama pesa ingekuwa ndogo hata huyo mpokeaji naona angeikataa...

Kanali mimi nimekuelewa sana [emoji16][emoji16][emoji122][emoji122]
 
Kanali mzima umepigwa hela ya nauli tu unalia lia hivyo... halafu usipoweka screenshot za huo muamala unategemea tutakuamini vipi,?

Ila we mbwiga kweli khaa unaliaibisha jeshi letu
 
Jaman msisahau kujitag basi lol....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…