Hii sio haki sawa kwa wote tena

Hii sio haki sawa kwa wote tena

Ushoga ni mtoto wa Equality. Hiyo ilitangulizwa kabla kama kiberenge kabla treni halijapita.

Kama ambavyo tulishindwa kuukataa usawa, ndivyo ambavyo Ushoga utatupiga kwa Knock Out.
 
Weeeeh!! Sasa kwanini ukwame bwana!! Hebu hakikisha hukwami🤣🤣🤣
sio kila mda mambo huenda sawa kama ulivyopanga kuna ups and down nyingi kwenye maisha, kuna muda huko kulazimisha mambo yawe sawa unajikuta ndio unafanya hali kuwa mbaya zaidi. Kuwa supportive inapobidi sio vibaya, vibaya ni kuyafanya majukumu ya mwanaume 100% na yeye yupo.
 
Wanaume,

Pesa ya mwanamke haishibishi, ukipewa lazima ukumbushwe. Haijalishi anakupenda kiasi gani, ila LAZIMA huko mbele ya safari (akusimange).

Ukiweza, iepuke sana hela ya mwanamke.

Pia OA Mwanamke atakayekaa nyumbani na kulea watoto wako, kama atafanya kazi basi hakikisha ni wewe ndio umemuajiri.

Na kama huna uwezo wa kuhudumia basi USIOE, narudia tena kama huwezi kuhudumia USIOE.

Be a Man. She is not your RELATIVE.
 
Kuna nguvu kubwa sana inatumika kuididimiza nguvu ya mwanaume africa na duniani kwa ujumla, nitakuja na bandiko nitagusia baadhi ya mifano hai maana ipo mingi mno.
Hii post haifanyi hicho unachokisema. In fact, inampa nguvu mwanaume kutotegemea kabisa pesa/mali ya mwanamke. Inamfanya mwanaume kuwa ndie mmiliki mkuu wa himaya ya familia kiuchumi na kijamii. Inaturudisha mstarini. Acha kabisa mambo ya kutegemea pesa ya mwanamke, itakunyong'onyeza na kukunyima nguvu kimaamuzi na kimamlaka kwenye familia. Wewe ndie Amiri Jeshi Mkuu wa familia yako. Unatakiwa kuwa na akili, maono, nguvu na hekima kubwa.
 
Mi napenda hivi mapenzi ni ya wote Raha niza wote Mali ni ya baba na mama pale baba anapozitafuta mama hawezi kumgawia mume wake wasababu kuu mbili.

Either mumeachana watoto wataenda na mama kwasababu ndio anaaminika kuwa ndiye mlezi stahili Kwa familia zile Mali zitawasaidia watoto kujikimu kimaisha Kwa kila kitu ada, chakula , malazi na mahali pakuishi wewe baba ukishaachana na mwanamke unaoa Tena so Mali wanaridhi watu ambao ni wapya na hawastahili maana mke mpya na watoto hawakuchuma hizo Mali ni nke mkubwa alichuma.

Ndio manaa mke ni ngumu kushare Mali . Ni ngumu mke kuolewa Tena kwa sababu ya upendo Kwa watoto wake wengi huishia kuwa na mahusiano ya kimapenzi tu na mtu kukidhi haja zao tu. Basi
 
Kama pesa ya mwanamke haitumikinkaa familia, basi mke abaki nyumbani alee watoto mm nikatafute. Sio wanangu wakekewe na house girl kwa kisingizio cha yy kufanya kazi halafu pesa isitumike.
 
pesa ni ya familia.. mambo yote yataenda kwa budget na mipango.
Mpaka mnaoana manake mmeridhiana wenyewe. Kwanini sasa mleteane pigo za uchoyo?
(Only for wanandoa)

Hawa ma BF& GF wapambane na hali zao 🤣
Unataka uolewe fasta.
 
Hii post haifanyi hicho unachokisema. In fact, inampa nguvu mwanaume kutotegemea kabisa pesa/mali ya mwanamke. Inamfanya mwanaume kuwa ndie mmiliki mkuu wa himaya ya familia kiuchumi na kijamii. Inaturudisha mstarini. Acha kabisa mambo ya kutegemea pesa ya mwanamke, itakunyong'onyeza na kukunyima nguvu kimaamuzi na kimamlaka kwenye familia. Wewe ndie Amiri Jeshi Mkuu wa familia yako. Unatakiwa kuwa na akili, maono, nguvu na hekima kubwa.
Umeandika vyema sana mkuu ila sitegemei pesa ya mwanamke ni chungu mno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom