Hii sio foleni ya maji, ni akina mama wakipanga folen kununua kadi za CHADEMA

Taarifa za uhakika nilizo nazo hizo kadi ziligawiwa bure wala hazikuuzwa na mgawa kadi ndiye mleta huu uzi. Kama kweli ziliuzwa watuambie ni kadi ngapi waliuza na ziliingiza shilingi ngapi? Wanawake wote waliokuwepo kwenye mkutano huo walipewa kadi bure hawakununua!! CDM hizi propaganda za kusema uongo na kukuza mambo mmeanza lini?

Taarifa unazo kuwa kadi ziligawiwa bure, cha ajabu hujui ni ngapi unataka uambiwe. Rudi darasani kanoe uelewa na usemaji wako. Hapa umechemsha. KUBALI YAISHE
 
Kwa picha hizi na dalili tosha kuwa, tuna kila sababu tuanze kuchimba kabsa kaburi na kuadaa Jeneza la Chama Twawala, kusudi ifikapo 2015, kaburi liwe tayari - ni kuzika tu!
 

kina mama wa kihesa wakipanga feleni kupata kadi za chama cha chadema.





leo katika muendelezo wa mikutano ya Mhe. Msigwa kihesa sokoni kina mama zaidi wajitokeza.
wanachama 75 wajiunga.​
Hizi ndizo kazi zinazotakiwa kufanywa na mwanasiasa anayetaka mafanikio,kuna wengine wanasena eti wao wanafanya kazi kwa siri kwani siasa imekuwa biashara ya gongo? kesho na kesho kutwa Msigwa akiwa mkurugenzi mnaanza ohh analundikiwa vyeo,
 
Huyu mbunge ni moja kati ya vichwa nadani ya Chadema, na si dhani kama kuna mbunge mwingine kwa waliopo wa chedema wakuweza kumfananisha na huyu.

Jamaa anafaaa sana kuwa hata mwenyekiti wa Chama Taifa
 
Huyu mbunge ni moja kati ya vichwa nadani ya Chadema, na si dhani kama kuna mbunge mwingine kwa waliopo wa chedema wakuweza kumfananisha na huyu.

Jamaa anafaaa sana kuwa hata mwenyekiti wa Chama Taifa
Uenyekiti haupimwi hivyo unaweza kuwa konda mzuri ukashindwa udereva.
 
Back
Top Bottom