recovery haitaki simu iwake,Mkuu haiwaki zaidi ya hizo picha zinavyoonekana
Swali nje ya mada mkuu,android box km hii kwa bongo naweza kuipata kwa shilingi ngapi?recovery haitaki simu iwake,
angalia hapa
LG F510L G Flex2 - How to Hard Reset my phone - HardReset.info
usifanye hard reset, clear tu cache na dalvik cache kwanza uone kama itatoa hilo tatizo. hard reset iwe ni last resort njia zote zikishindikana.
yamejaa kibao aggrey kariakoo, pia kupatana zipo unaweza wasiliana na muuzaji.Swali nje ya mada mkuu,android box km hii kwa bongo naweza kuipata kwa shilingi ngapi?![]()
Ahsante chief,kuna ndugu yangu yupo israel,ndio alinitumia hiyo picha,kwa kule km hiyo inasimama kwenye euro 40!ndio nikataka nijue na bei ya k`kooyamejaa kibao aggrey kariakoo, pia kupatana zipo unaweza wasiliana na muuzaji.
bei zake nyingi ni 100,000 mpaka 200,000
ila za kichina wanachoandika na unachokipata sometime sio, hasa hizo 4k na codecs kama HEVC.
kama unataka uhakika kwa budget ndogo agizia amazon fire stick, budget ya kati tafuta xiaomi mi box, budget kubwa tafuta nvidia shield.